Jamani twendeni Burundi

Nyie nendeni uko Burundi mim nitaishia mbulu kwa wairaq
 
Bado Hujanishawishi Ungesema Rwanda Hapo Sawa
 
Wadada wa Kitz wazuri zaidi ya Burundi/Rwanda!Chukua TZ top 20 weka na hao watuts top 20 hata close hawafikii
Mnacho kifanya ni kuchukua watusi wazuri kulinganisha na watz the avarage!
Msilete utani nyie kaa hapo posta mpya jioni au nenda White Sands weekends uone madada wa kitz walivyo warembo
 
Wageuke tuone na upande wa pili
 
Ethiopia+somalia huko sawa Burundi kama waha wa Kigoma tu nothing new nimekua nao hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…