Jamani tunaelekea wapi...??

Jamani tunaelekea wapi...??

missnyakanazi

Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
13
Reaction score
2
Unaweza kuimagine mtoto mdogo kama huyu amekamatwa uume wake na mama wa kambo eti kisa anakojoa sana? Wanaume punguzeni kuoa na kuacha especially kama unajijua una watoto wadogo. Wanawake siku hizi wamekuwa kama wanyama, huyu mtoto unafikiri ataishije ukubwani jamani!

Nimeumia sana!

attachment.php
 
Unaweza kuimagine mtoto mdogo kama huyu amekamatwa uume wake na mama Wa kambo eti kiss anakojoa sana? Wanaume punguzeni kuoa na kuacha especially kama unajijua una watoto wadogo wanawake cku hizi wamekuwa kama wanyama, huyu mtoto unafikiri ataishije ukubwani jamani nimeumia sana..!!

We muha lete picha
 
Wanaume punguzeni kuoa na kuacha especially kama unajijua una watoto wadogo wanawake cku hizi wamekuwa kama wanyama...

Wanaume wapunguze kuoa au wanawake muache ukatili?

Unadhani huyo mwanamke wakati akiolewa si alitambuwa kabisa bwanaye yu na mtoto tayari, kwa nini alikubali?

Huenda huyo mwanaume alikuwa kafiwa na mama wa mtoto ndio maana akaoa ili walau mwanaye apate mlezi
 
alaniwe milele..kwel wanawake wengine wana roho mbaya...mtoto wa mwanamke mwenzako unamfanyia kitendo kama hcho...mungu amsamehe
 
alaniwe milele..kwel wanawake wengine wana roho mbaya...mtoto wa mwanamke mwenzako unamfanyia kitendo kama hcho...mungu amsamehe

kwa kitendo alichokifanya tumkabidhi kwa shetani manake kwa Mungu atamsamehe
 
baadhi ya wanawake sio watu bali majitu. Ukiwaona utasema ni kondoo kumbe machui yanayokula watu.
 
Mi lazima ntakuja kill mwanamke mmoja, lazima. Wana roho mbaya sana hawa viumbe!
 
missnyakanazi

Ha ha haaa. Unadhani mama wa kambo alinifanya mazuri basi? Yaani maskini ya mungu mi sijui hata kosa nililomfanyia (I was only 5 years old), nashinda na njaa wakati ndani kuna chakula cha kutosha. Wanapewa majirani vingine vinamwagwa, mi nashinda na njaa mdomo umekaukaaaaa! Siku mshua akirudi ndio napewa kipande cha nyama cha kuzuga.

Akiondoka kesho yake napikiwa maharage ya kula hata siku nne (sikumbuki kama hata chumvi yalikuwa yanawekwa yale), na nakula jioni tu, mchana napigishwa pasi ndefu wakati mdingi ana mahela kibao, kila akirudi vyakula vya kutosha vinaletwa home, hasa nyama za porini. Nimepiga hizo since 5 years old mpaka std 7. Acheni utani nyie watu.

Siku njaa ikanizidia nikadokoa nyama motoni ambayo alikuwa anamuandalia mwanawe, weeeee! Alinitandika mpaka nika-faint nilipozinduka (hapa sasa ndio patasababisha nikill mwanamke), akanishika mdomo wangu akauachanisha akanitemea mate ya kutosha humo, sijui yalikuwa makohozi yale (ghrrrrrrr!). Siwezi sahau.

Ningekuwa mkubwa labda ningechukulia ni denda tu nikapotezea, sasa nilikuwa std 3 tu jamani.
 
Last edited by a moderator:
Mwee!! sisi wanawake tuna roho gani lakini? mmh!! Mtu mwenye roho ya binadamu wa kawaida si rahisi kufanya hivi. mmh!! inaumiza kwa kweli, Eeee mungu naomba usinichukue kabla uzao wangu haujafikia kujitegemea kiakili.
 
superstar1

Ni vizuri ukamuue huyo mama yako wa kambo na uache wanawake wengine. Na baba yako pia umuue maana how come unakuja unabwaga mavyakula pesa bila kufuatilia? How come hakai karibu na mtoto kujua shida za mtoto wake? Ukishawauwa hao usubiri kipigo toka kwa Mungu, hapo ndio utajiuliza ulilaaniwa before hata uzaliwe utakuwa ni mtu wa mikosi tu.

Hakuna kitu kizuri kama kusamehe na utaona mambo yako yananyooka kwa sababu ulifungua moyo wako na kusamehe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom