Mazoko
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 674
- 186
Picha hiyo hapo..
Natetemeka kwa hasira mungu anipitishie mbali mawazo ya kisasi maana naona jela au kunyongwa kwangu kukokaribu
Picha hiyo hapo..
bado mdogo huyo itaota tena
missnyakanazi
Ha ha haaa. Unadhani mama wa kambo alinifanya mazuri basi? Yaani maskini ya mungu mi sijui hata kosa nililomfanyia (I was only 5 years old), nashinda na njaa wakati ndani kuna chakula cha kutosha. Wanapewa majirani vingine vinamwagwa, mi nashinda na njaa mdomo umekaukaaaaa! Siku mshua akirudi ndio napewa kipande cha nyama cha kuzuga.
Akiondoka kesho yake napikiwa maharage ya kula hata siku nne (sikumbuki kama hata chumvi yalikuwa yanawekwa yale), na nakula jioni tu, mchana napigishwa pasi ndefu wakati mdingi ana mahela kibao, kila akirudi vyakula vya kutosha vinaletwa home, hasa nyama za porini. Nimepiga hizo since 5 years old mpaka std 7. Acheni utani nyie watu.
Siku njaa ikanizidia nikadokoa nyama motoni ambayo alikuwa anamuandalia mwanawe, weeeee! Alinitandika mpaka nika-faint nilipozinduka (hapa sasa ndio patasababisha nikill mwanamke), akanishika mdomo wangu akauachanisha akanitemea mate ya kutosha humo, sijui yalikuwa makohozi yale (ghrrrrrrr!). Siwezi sahau.
Ningekuwa mkubwa labda ningechukulia ni denda tu nikapotezea, sasa nilikuwa std 3 tu jamani.

Nimesononeka sana mshukuru Mungu kwa kukulinda ukakua salama,bado yupogo huyo mama?

Siku njaa ikanizidia nikadokoa nyama motoni ambayo alikuwa anamuandalia mwanawe, weeeee! Alinitandika mpaka nika
superstar1
Kama yupo mweleze ukweli na usimwache aendelee kuunyanyasa moyo wako ila KISASI LAZIMAAAAAA
missnyakanazi
Ha ha haaa. Unadhani mama wa kambo alinifanya mazuri basi? Yaani maskini ya mungu mi sijui hata kosa nililomfanyia (I was only 5 years old), nashinda na njaa wakati ndani kuna chakula cha kutosha. Wanapewa majirani vingine vinamwagwa, mi nashinda na njaa mdomo umekaukaaaaa! Siku mshua akirudi ndio napewa kipande cha nyama cha kuzuga.
Nimesononeka sana mshukuru Mungu kwa kukulinda ukakua salama,bado yupogo huyo mama?
Akiondoka kesho yake napikiwa maharage ya kula hata siku nne (sikumbuki kama hata chumvi yalikuwa yanawekwa yale), na nakula jioni tu, mchana napigishwa pasi ndefu wakati mdingi ana mahela kibao, kila akirudi vyakula vya kutosha vinaletwa home, hasa nyama za porini. Nimepiga hizo since 5 years old mpaka std 7. Acheni utani nyie watu.
Siku njaa ikanizidia nikadokoa nyama motoni ambayo alikuwa anamuandalia mwanawe, weeeee! Alinitandika mpaka nika
Hayupo alishafariki in 1995. Kipindi ananifanyia hivyo ni kati ya 1977 - 1988 coz 1989 nikaanza form 1 boarding nikawa nimeachana na mateso. I am in my 40s now, babu kabisa!!
superstar1
Ni vizuri ukamuue huyo mama yako wa kambo na uache wanawake wengine. Na baba yako pia umuue maana how come unakuja unabwaga mavyakula pesa bila kufuatilia? How come hakai karibu na mtoto kujua shida za mtoto wake? Ukishawauwa hao usubiri kipigo toka kwa Mungu, hapo ndio utajiuliza ulilaaniwa before hata uzaliwe utakuwa ni mtu wa mikosi tu.
Hakuna kitu kizuri kama kusamehe na utaona mambo yako yananyooka kwa sababu ulifungua moyo wako na kusamehe