tofauti kati yao ni moja tu. Though mzee Msuya ni mkubwa kwa Pinda, akili yake iko sharp kama mtoto wa miaka 30; Pinda na genge la wezake akina Makamba and Club Co. ni kama wana miaka 90 au chekechea. Ukidiscuss issues na mzee Msuya utashangaa!!
Utingo wewe ni lazima unatoka Mwanga otherwise huyu mzee CD utamuona wapi? Na kama ni hivyo ni lazima umrembe!!
Kweli yawezekana mzee wetu tangu mama atutoke lakini naamini yuko na msaidiizi
kwanza nampongeza kwa jinsi ya pamba anazovaa kwa kweli mzee hili nakupa kumi ila kuna hili kidogo yawezekana ni kajoto cha dar lakini sikuhzi kuna vitoto vidogo vikiona vifua vya wazee vimetakata kama chako avichelewi kukukimbilia..kujihami na mafwataki hawa wa kike mzee kifua kidogo uwafiche wasije kuongeza munkari siku ya siku UWAZI na IJUMAA hilo upareni...namaanisha mnaomtunza mzee tujitahdi kumfunga kifungo mpaka juu else madhara yake ni makubwa hasa kwa vijibinti vyenye kutamani wazee wetu na kuvunja ndoa za mama zetu
mzee unakula kuku shavu limependeza mpaka namkumbuka mama yangu nasema Mola muweke pema peponi maana unavyotakataka ..mmmh Bwana awe nawe mzee msuya...na mwanga wa FWEDHA uzidi kukuangazia milele kama ulivyowaangazia watu wa upareni bila kujali ...
umeona eeeehhhhh inabidi mzee jk amrudishe uongozini kidogo..kama alivyochekesha RAIS WETU WA ZANZIBAR kwa Kumrudisha aliekuwa Jajimkuu mstaafu kuwa jaji shame on you shein
tafadhari sahihisha spelingi za taito ili tukuewlewe.