JAMANI TUMWANGILIENi MZEE KABLA YA KUONDOKA NYUMBANI!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kweli yawezekana mzee wetu tangu mama atutoke lakini naamini yuko na msaidiizi
kwanza nampongeza kwa jinsi ya pamba anazovaa kwa kweli mzee hili nakupa kumi ila kuna hili kidogo yawezekana ni kajoto cha dar lakini sikuhzi kuna vitoto vidogo vikiona vifua vya wazee vimetakata kama chako avichelewi kukukimbilia..kujihami na mafwataki hawa wa kike mzee kifua kidogo uwafiche wasije kuongeza munkari siku ya siku UWAZI na IJUMAA hilo upareni...namaanisha mnaomtunza mzee tujitahdi kumfunga kifungo mpaka juu else madhara yake ni makubwa hasa kwa vijibinti vyenye kutamani wazee wetu na kuvunja ndoa za mama zetu

IMG_7341.JPG
 
mzee unakula kuku shavu limependeza mpaka namkumbuka mama yangu nasema Mola muweke pema peponi maana unavyotakataka ..mmmh Bwana awe nawe mzee msuya...na mwanga wa FWEDHA uzidi kukuangazia milele kama ulivyowaangazia watu wa upareni bila kujali ...
 
Alianza kayanza pinda siku alipotangazwa kuwa pm 2008

umeona eeeehhhhh inabidi mzee jk amrudishe uongozini kidogo..kama alivyochekesha RAIS WETU WA ZANZIBAR kwa Kumrudisha aliekuwa Jajimkuu mstaafu kuwa jaji shame on you shein
 
tofauti kati yao ni moja tu. Though mzee Msuya ni mkubwa kwa Pinda, akili yake iko sharp kama mtoto wa miaka 30; Pinda na genge la wezake akina Makamba and Club Co. ni kama wana miaka 90 au chekechea. Ukidiscuss issues na mzee Msuya utashangaa!!
 
Utingo wewe ni lazima unatoka Mwanga otherwise huyu mzee CD utamuona wapi? Na kama ni hivyo ni lazima umrembe!!
 
mkuu si kweli kuwa natoka mwanga, na sijawahi hata kunywa maji ya ule mji. Mimi natoka nyanda za juu kusini magharibi, niliwahi kumsindikiza mjournalist mmoja alikuwa na issues za kumwuliza huyu mzee, I was so surprised how he could urge na namna alivyo constructive na anavyofahamu latest issues.
 
Kweli yawezekana mzee wetu tangu mama atutoke lakini naamini yuko na msaidiizi
kwanza nampongeza kwa jinsi ya pamba anazovaa kwa kweli mzee hili nakupa kumi ila kuna hili kidogo yawezekana ni kajoto cha dar lakini sikuhzi kuna vitoto vidogo vikiona vifua vya wazee vimetakata kama chako avichelewi kukukimbilia..kujihami na mafwataki hawa wa kike mzee kifua kidogo uwafiche wasije kuongeza munkari siku ya siku UWAZI na IJUMAA hilo upareni...namaanisha mnaomtunza mzee tujitahdi kumfunga kifungo mpaka juu else madhara yake ni makubwa hasa kwa vijibinti vyenye kutamani wazee wetu na kuvunja ndoa za mama zetu

IMG_7341.JPG

tafadhari sahihisha spelingi za taito ili tukuewlewe.
 
mzee unakula kuku shavu limependeza mpaka namkumbuka mama yangu nasema Mola muweke pema peponi maana unavyotakataka ..mmmh Bwana awe nawe mzee msuya...na mwanga wa FWEDHA uzidi kukuangazia milele kama ulivyowaangazia watu wa upareni bila kujali ...

duuu
 
umeona eeeehhhhh inabidi mzee jk amrudishe uongozini kidogo..kama alivyochekesha RAIS WETU WA ZANZIBAR kwa Kumrudisha aliekuwa Jajimkuu mstaafu kuwa jaji shame on you shein

shein zezeta sana bana..sijui kama anapataga muda wa kufikiria mambo yule
 
tafadhari sahihisha spelingi za taito ili tukuewlewe.

picha safi ,mzee afya yako imara kuliko hata ya mwenye kaya.lakini mbona umejaza mi PENI mfukoni ya nini yote hiyo sasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom