tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Mtabiri mmoja ambae hakutaka kina lake litajwe , ambae makazi yake nje kidogo ya jiji la daresalam ila kazi zake hufanyia katikati ya jiji hilo , ameibuka na kuwaasa watanzania kupunguza safari hasa za masafa marefu kwa mujibu wa utabiri wake alioutoa mwanzoni mwa mwaka , kwamba kutakuwa na mfululizo wa ajari ambapo watu wengi watapoteza maisha katikati ya mwezi february na june, yaani march, april na may, na ajari hizo zitaitimishwa na ajari kubwa ya majini itakayotokea kati kati May mwishoni mwa May ambapo watu wengi watapoteza maisha, amesema watu wasisahau misikitini , makanisani kumuomba mungu aepushe hilo, ila kuanzia july hakutakuwa na ajari Zinazoghalimu maisha ya watu wengi kwa mara moja: