Jamani Tujuzane Hali Ya Jimbo La Kigoma Mjini

Jamani Tujuzane Hali Ya Jimbo La Kigoma Mjini

Status
Not open for further replies.
:crazy: bado wanavuna mawese kwanza wakimaliza watakuja hapa!sema kwanza idadi ya wapiga kura!
 
Tatizo lenu mmejawa na chuki jioni uje utoe kauli hii hapa najua utakimbia Zitto atapa kura nyingi sana sijui mnasemaje kaiba kura.

Zzk hawezi na hatoweza kupata ubunge kigoma mjini kama alikimbia kwao itakuwa hapo kigoma? Ameshakwisha kisiasa huyooo
 
Nani kama Ben Saa8 hapa Tanzania kumwamuru mkuu wa majeda kujitokeza ndani ya cku 7 la cvyo....na akagwaya na kutii na kujitokeza kwa mkwala tu mzito wa maandishi.

Ben Saa8 2025 Bliv me
 
Zzk hawezi na hatoweza kupata ubunge kigoma mjini kama alikimbia kwao itakuwa hapo kigoma? Ameshakwisha kisiasa huyooo

Mkuu binafsi simwamini sana Zitto kwa vitabia vyake vya ajabu ila anahitajika sana bungeni kwa uwezo wake wa kujenga hoja! Hata kama hatashinda basi Rais ajaye amteue kwa kama mbunge wa kuteuliwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom