Jamani Tujuzane Hali Ya Jimbo La Kigoma Mjini

Jamani Tujuzane Hali Ya Jimbo La Kigoma Mjini

Status
Not open for further replies.
Zitto atashinda na haters mtakoma na roho zenu mbaya...
 
zitto alishasema anapenda kufundisha......so tunampeleka shule kuanzia leo...ajiandae tu kutuma applivation za kazi kwenye vyuo mbalimbali
 
Aisee ZITTO ana khali mbaya Kigoma mjini. Muulize mkazi yeyote wa pale Kigoma

Ikifika saa nne usiku wa leo utasema kaiba kura, katumia siasa za udini, katoa rushwa, ccm imembeba.Akili kama zako zinastahiki kabisa kuongozwa na Baba Ridh kama Rais wa Milele
 
zitto anasubiri kuapishwa ninaamin hum jf hawamkubali tu na kiukwel zitto atashinda kwa asilimia kuanzia 60 nakuhakikishien mpaka saa 6 usiku zitto atakua kishatangazwa
 
zitto kishapita
 

Attachments

  • 1445753700877.jpg
    1445753700877.jpg
    67.2 KB · Views: 127
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom