Jamani tujadiliane na hili la personal space

sio maumbile ni malezi
hasa under 10years uliishije
at some point mama yako alikuacha?
Uliishi kwa ndugu?
Ulikaa na maids wakakumistreat?
Shuleni were you free?au ulikuwa unaishi under pressure?

Kwa wazazi usimwache mwanao before 12 kuna vitu naamini huwa anakosa

jichunguze utagundua tatizo lilianzia wapi

Nilivyomaliza fomfoo nilikaa tandika uswazi kabisa kwenye vyumba vya uwani na sis wangu; nilikuwa natika nje jioni baada ya Sis kutoka job. Niitwa majina yote hayo; ni maumbile tu!
 
wengine mna bahati, yaani mimi hiyo space siitaki hata kidogo na hata naoishi nao nakerwa sana mtu akijidai anahitaji space na huwa sielewi
ila kwa wanangu sitaruhusu wawe na hii kitu
maofisini huwa nawaona wanalia lia chooni weee mi najionea sinema tu

yani pinkie mimi nikiona hata dada akikatizakatiza najionea shida tupu. sitaki kabisa vurugu nikiwa home
 
Let it go
sijui ni nini ila kulia ukiwa peke yako ni dalili ya uchungu ambao hujaamua kuuache uende zake
i can be wrong anyway

Nikikaa peke yangu for more than 2 hrs lazima ntalia,sipendi na siwezi kabisa
 
Back
Top Bottom