Jamani tuchambueni uendeshaji wa BBC Swahili kwa umakini

Jamani tuchambueni uendeshaji wa BBC Swahili kwa umakini

Tuache ujinga jaman, dini ya mtu inakuhusu nin? tena mtu mwenyewe mtangazaji wa habari tu!!? Kwan hata kama ni muislamu ndio atatangaza habari za misikitini?au kama ni mkristo atatangaza habari za kanisani hapo?!

Tuache kulalamika, tatizo letu sio dini bali umasikini! Kuanzia chakula ni shida hadi kulala shida ndio maana hata akili zinadumaa tunaleta mada za kupuuz.i kabisa humu! Shenz typ!
 
mi sijaelewa unamaanisha nn.ungesema tatizo nasi tukajua pa kuanzia
 
Nimekuwa nikifuatilia sana kipindi hiki cha bbc swahili kinachorushwa na star tv. Kuna jambo.

Hebu pasipo kuchambua sana karibuni wadau muweke inputs hapa

Majungu@work!!
 
Kuna jambo? ni jambo gani hilo mbona husemi wadau wachangie?
 
Mimi nimegundua kuhusu michezo, sometime japo hakuna machafuko nchini brasil wao wataeleza machafuko yametokea, au hawakupenda mashindano ya world cup yaweko brasil
 
mi binafsi nlichoona kwa bbc ni kuipendelea kenya, kila cku lazima habari ya kenya iwepo lakini sio kwetu
 
Yap...Kama ile habari ya jana ya Shule za kiislamu UK.....

Jamaa wakaonesha Rwanda eti Catholic Schools zinachukua wanafunzi wa dini zote ila wanapaswa kufuata masharti ya kikatoliki lakini Muslim school wanachukua wanafunzi wa dini zote (Muslim/Christian) ila vipindi vya dini kila mwanafinzi anaruhusiwa ku-practise dini yake bila ubaguzi.....

Jamaa alikuwa kama anaitetea zaidi deen yetu..

badala ya kukanusha walichoongea bbc wewe unaandika kihisia zaidi, sasa kama ukweli upo hivyo mlitaka bbc wasemeje?
 
Habari zao za michezo ndo kichekesho zaidi

Ila napendaga habari za uchumi anazosomaga yule mtassa
 
Hivi Abdul Mohammed kashaanza kutangaza?
Dogo ana zali hatari...from redio Kheri, to redio one, Clouds hadi BBC....
 
Kama tunaojadili hapa ni watanzania basi tusijadili maanake watanzania hatuna udini wala ukabila hii thread ina chembe chembe za udini
 
Back
Top Bottom