Habarini wana jamii
kwa wataalam wa kiswahili mtanisamehe kama habarini si neno sahihi ila ni kuwapa hi tu jamani.
Bandugu, dogo letu moja linasoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine. likamfuata likaka letu lingine huku likilia machozi na kusema, kilasiku huwa linasahau kuleta ujumbe lililopewa kutoka kwa wakufunzi wake huko mji kasoro bahari, leo hii limehukumiwa sana na dhamila ya moyoni mwake maana kila likipiga simu limekuwa likipiga mizinga tu ya mshiko na kudai bumu limechelewa na kusahau ujumbe wa maana sana kwa jamii. Liakajiona limekuwa ni kama nabii mwenye ujumbe muhimu wa kuwaponya watu alafu akasahau na kukumbuka wakati akiwaona watu hao wanaangamia.
Kwa maelezo yake kila mkufunzi akimaliza kile kilichomfanya awe ameajiliwa na chuo, anashusha pumzi na kwa upole sana kama vile anamuelezea jambo kubwa mtoto wa miaka mitano anaanza kueleza juu ya umuhimu wa kumili ardhi ndani ya kitundu chetu cha amanitena kwa haraka iwezekanavyo kwani wao (wakufunzi) kama wataalamu wa ardhi na kilimo wameshilikishwa katika mchakato mkubwa wa siri juu ya haka kaushirika ketu ka wala sato wa ziwa VIKITORIA kwa wakina ngosha. Japo hawawi wazi saaaaaana ila ni kama mchakato umeshakwisha na mkakati unasubiri utekelezaji(MANAKE SIO LAZIMA UONE MIALE YA MOTO KWANI HATA MOSHI UNATOSHA KUKUJULISHA KINACHOENDELEA) na kwa hisia za wengi wa wanazuoni wenzake ni kama vile uchaguzi ndio unaochelewesha,huenda jamaa wanataka kuziepuka hasira za wapiga kura ila ukweli unabaki kuwa kwa swala la Ardhi katika haka kamuungano ketu ka watumia maji ya ziwa VIKI ambao tunamtunishia misuri Farao itakuwa ni sehemu ya haka kaushirika ketu. yani inamaana TUTABANA WEEEE ALAFU KILAIIIINI TUTAACHIA. yani itakuwa HATUTAKI, HATUTAKIII HATUTAAAKIIII HATUTAAAA.......sasa kwa kauvivu ka wengi wa Tanzania, wakiingia jamaa wa katiba mpya na wa kwa yule jamaa aliyedhihilisha kuwa uhakika wa vyakula vingi sio sababu ya kunenepa sijui itakuwa vipi?
Basi bandugu bapenzi aliponijuza likaka letu juu ya ujumbe wa dogo letu toka kisiwa cha mindu huko mji kasoro bahari nikasema "duuu! amakweli MUNGU ni mwema kwangu" mnake japo huwa namkosea kosea sana likini sijui ni kivipi aliniongoza nikahamisika kibinafsi kujikatia japo viheka kumi huko bwagamoyo.Amakweli MUNGU WA AJABU. kilichonivutia mimi Bwagamoyo ni kuwekwa lami kwa njia inayopita maeneo hayo kuelekea akina masawe na shemndolwa kupia msata maana kama mnavotambua bandugu kuwa barabara ya kukatizia upande huo itahama chalinze na kupitia bagamoyo kiwangwa msata alafu mbele kwa mbele baada ya segela. Ili la kubana na mwisho kuachia sikuwa nalo hata. kama kuna mtu ana namba ya simu yule jamaa nani huyuu? aaah, huyu jaaa bwana! huyu aliye mwagwa kura za maoni kule alikopita yule dada wa kuboresha makazi kama yale ya Tandare kutoka kwenye umoja mkubwa jamani naomba anipatie namba yake make yeye si ndo alikuwa nakaa mezani kwa ajili yetu labda anaweza akanipa fununu niwamegee
Bandugu, mimi nadhani nisiwe mchoyo japo wa taarifa tu, tena nikiwataarifu si ndo inakuwa poa tuwe wengi ambao ni wazawa yasije tukuta tena yaleyale ya Canada kuendelea kwa maduka yaliopo posta na kaliakoo kwasabau ma********* wanakaa nyumba za national housing wanakwepa kulipa kodi kijanja kwenye mamlaka yetu ya kutukamua vipato alafu faida yooote wanaipeleka Canada na India, tena kama wale wa kwa brother mwembamba si mnajua walivo na kasi y a kujikusanyia. Bora mimi na wewe ndugu yangu tukipata za kutosha si tunaweza hata kuweka lami kule kwetu kigoma, asa Nakuru ikiendelea mi inansaidia nini?
Sina utaalamu sana wa kilimo na katika makuzi yangu nilikichukia kidoogo kwani ile kuamshwa kila siku asubuhi kwenda shamba na baba, nkasema aaaaagh!!! kilimo mimi cha nini?ngoja nikamue shule mambo yawe mswanu kumbe duuuuu! 50% yote kodi. 30% kabla sijapewa changu na 18% kila ninapo nunua kitu. Ila hivi karibuni mundugu mumoja akanistua aliponieleza hasara za kuweka fedha benki kulingana mfumuko wa bei kuwa kati ya 8-13% kwa mwaka.kwahiyo nikiweka milioni 1 baada ya mwaka inakuwa 870,000/ wakati nikinunua ardhi kwa hiyo milioni 1 baada ya mwaka ianweza kuwa na thamani ya milioni 5. nikaona raha ya kusoma ngwini alafu unakuwa na kaushkaji na wachora makabati. basi nikaona isiwe taabu, kwanza sasahivi baba ndo mimi mwenyewe kwahiyo nikitaka naamka na nisipo taka nalala tuu ataniuliza nani!!!!
Kwa wale ambao tunamsuli wa kuandamana, mimi naona badala ya kuimba tena "solidaliti foreva" pale jangwani au kupita pale feri kwa juu kidogo huku tunaimba"tunatakaaa, ardhi yetuu" huku tunasubiri maji ya kuwasha toka kwa geshi la polishi ni vema tuaandamanie huko kwenye mapori ya ardhi mapemaaa.
Kwa waliopo Morogoro huko ndo kunaneema balaa, ardhi zenye rutuba na bado ni mapori yanayomilikiwa na wazee yapo kibao kuko kilombero, dakawa, mikese na kwingine kwingi. Kwa mlio kanda ya kati nani atabisha kuwa Dodoma imesheheni ardhi nyingi yenye rutuba. Tanga ndo usiseme sijui hata nianzia wapi. Na kwa tuliopo DSM, ni kweli hapa hamna mashamba, lakini hata hapo bagamoyo nauli 1600 tu hakufikiki? upande huo ninaufahamu kidogo kwani hizo kumi ninazolinga nazo nimejisevia huko. nimejishuhudia mwenyewe eneo kuanzia fukayosi kiwangwa hadi msata mapori bwerere yenye rutuba hasa, kiasi kwamba karibu kila kitu (isipokuwa mtu )kikipandwa kinaota. lakini wenyeji waneng'ang'ania mnanasi tuuu kisa ni kwamba yana ustahimilivu wa ajabu kiasi kwamba si rahisi kufa na hata usipo palilia bado utavuna japo kwa kiwango kidogo. basi wenyewe ni kucheza bao na kuendesha pikipiki tuuu wakisuburi msimu wa kuvuna.
Jamani hatakama mtu hutaki kulima kwa msimu si upande miti kama mitiki ambayo itakuwezesha kupata mkopo wa uhakika uendelee kufanya hicho unacho penda,( ohooo!. mshaanza. oooh, mimi sitaki mikopo. hivi huna habari kuwa huyo aliye kuajili na kukulipa mshahara unaoushitakia kila siku kwa TUCTA kuwa ni mdogo yeye mwenyewe amekopa ndo maaana wewe ukapata ajira).AU unaweza ukategeshea bei ipande uuze kwa faida au ukasubili mtu aje aingie ubia na wewe ukawa unaingiza mshikao hatakama upo bafuni unaoga.
Natumaini kuna watu ambao wana nduguzao SUA na wanahizi taarifa toka kwao. na kwa wale ambao mmeguswa na kuamua kukata shauri sintakuwa mchoyo ki hivoo. ngoja nipekuwe kitabu cha orodha za bandugu tuliokuwa nao shule waliopo maeneo niliyataja hapo juu yenye rutuba ili nikizipata namba zao niwasambazie alafu kila mtu kwa wakati wake ajimwage kwenye kilongalonga. kwa bahati nzuri hizi za bagamoyo sijazifuta bado kwani naendelea kupambana niongeze kidooogo manake haka kamsemo ka watu wa benki bwana unaweza pasua viooo vya madirisha ya watoa huduma wao." ndugu, tunapenda kukuhudumia lakini, HUKOPESHEKI"
Haya kwa wabagamoyo 0715 775055 na 0787 775055.
muda si mrefu ntawapatia za morogoro,na Tanga. Kwa ambaye anamtu Dodoma jamani tusaidiane sisi ndo sisi sisi wenyewe, sio lazima wote tuwe Kamugisha au Mwakipalapala ndo mjue tunaundugu jamanii!
"UNAHITAJI ELIMU ILI UWEZE KUISHI.UNAHITAJI KUJUANA(KUSAHIDIWA) NA WATU ILI UWEZE KUFANIKIWA ZAIDI" Robert Kiyosaki"