Lakini nikawa najishangaa mwenyewe, mbona hili pumba linamezeka? Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone, mwenye ubongo na aelewe! Mimi Mkuu nilishawahi 38 zangu ziko Kasuluuuu!! Tusijeonana wabaya aisee!!
yaani ubarikiwe kwa kutukumbusha. Huku mitaani pia foreigner wamejenga kwa vigezo vya ndoa na dada zenu. Wakifungulia kabisa tumekwisha. Ngoja namie nijazie kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.