Hayawi hayawi yamekuwa!
Mapenzi ya dhati yana vituko sana jamani, naweza kufananisha na ile hali ya mwanamke mjamzito! ndivyo nilivyokuwa nateseka muda wote! Lakini hatimae nimetulia tuliiiiiiiiiiiiiiii, moyo wangu umepata hifadhi hatimae! Huyu binadamu mwenye jina la
Toria ni kati ya wanadamu spesheli sana katika maisha yangu muhimu! Moyo wqangu upo ndani yake na moyo wake upo ndani yangu! TUMESHIBANA!
Shukrani nyingi ziende kwa familia ya
kiwatengu na
shansarie ambao walijitolea kwa hali na mali kuhakikisha kuwa na mm nakuwa kati ya watu wenye furaha katika ulimwengu wa mapenzi!
Nakumbuka
kiwatengu alinidhuru wakati nikihangaika kumtafuta ubavu wangu huku na kule, halafu baadae mkewe
shansarie akanitibu, halafu baadae tena wakajitolea kwa hali na mali kufanikisha ndoto yangu ya kupata ubavu wangu kipenzi
Toria! Ahsanteni sana na naomba muendelee na wema huohuo kwa wengine, isiishie kwangu tu!
Kwa heshima na taadhima nakala hii iwafikie wafuatao(protokali imezingatiwa)
Bishanga,
Lady doctor,
Heaven on earth,
mimisa,
Mwanathropolojia,
Arabela,
nitonye,
Kaizer,
gfsonwin na wengine wote ambao kwa namna moja ama nyingine walikuwa nami bega kwa bega katika mateso yangu!
Tuonane baadae kidogo sasa hv nipo bize na bebi wangu
Toria, nampetipeti!
Ahsanteni sana!
I LOVE YOU
Toria mwaaaaaaaaa............!!!!!!! :A S kiss: :A S kiss:
TheDealer!
(tafadhali sana
Blue G usiisome huu ujumbe, wewe hukawii kuharibu)