Jamani Tanga kuna nini lakini?

Jamani Tanga kuna nini lakini?

Kwenye kiuno chake ndio maana wanaume wengi wanaloea huko, Haaaaah, so funny
 
Kumbe ukienda huko unaweza isirudi kisa warembo, basi leo ndo nimeelewa kwa nini watu wakienda huo wanaoa na hawarudi makwao tena. Wengine wakistaafu tu wanakimbilia kuishi Tanga!
 
Kule kuna magaidi wa mapenzi"

Kuna jamaa mmoja wa Kigoma, Kibondo alikuja tanag kutafuta maisha akakanyaga anga za wabondei muheza, ndugu zake wanapukutika kwao haeindi msibani atakwenda kwenye ndoa??? kila siku watu wanamwambia arudi hata kwa kusalimia tu wapiiiiiiiiiiiiiiiii, miaka inakatika na kukatika.
Kuna ndugu yao mmoja ni mwajiriwa benki kuu, aliwasha cruser dar mpaka tanga, alipofika akamwambia nimekufuata twende nyumbani dar kuna shida zakifamilia na upate kusherehekea chrismas na ndugu zako, ukimaliza utarejea, jamaa alisombwa kama mwizi na akaambiwa usibebe chochote. cruser likapigwa mguu hadi kigoma. jamaa alilalamika na kulia kama kabambikiwa kesi ya ubakaji.
Niajabu yule jamaa hadi leo anasema anatafuta nauli siku akizipata tu anarudi zake tanga, hahahahahaha anapenda tarabu pale kijijini kwao ni yeye tuuuuuuuuu. KARIBU TANGA..... NJOO MCHAFU ......UTARUDI MSAFIIIIIII
 
Uongo mtupu hakuna kitu kama hicho mi ni mwenyej wa dar na ninaenda sana dar kikaz nakaa wiki hadi mwezi na sikuina kitu kama hiyo naona maajabu tu kwa urogi sawa wanaongoza
 
Na hasa ukiwa bwege kama mjanja huwez kaa maana tuna style zetu zinaitwa hit and run au inaitwa chapa ilale hakai mtu ni buti tu
 
Mengine si ya kuongea ukiwa nje. Ingia duaran ujue utamu uliomo
 
Back
Top Bottom