Jamani sure boy huyo anaecheza leo ndio yule yule au?

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,616
2,000
Mi naangalia mechi ya Tanzania na Burundi na kuna mtu anatajwa sana kwa jina la sure boy,je ndo yule yule Abuubakar Salumu au mwingine?
 
MKALIKENYA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,196
1,170
Hivi wewe una akili timamu kweli au ulikuwa JERA? kweli sure boy yule wa kuanzia miaka ya 1987(enzi za kina ROGER LILLA wa CAMEROON) mpaka leo awe anacheza mbona unatutafutia BAN bila sababu...maswali mengine uwe unamshirikisha ata mkeo kwanza.
 
Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946

heheheheeh mbavu zangu dah heheeheh ila mkuu ni Jela sio Jera na ni Milla sio Lilla najuwa ulipatwa na hasira tu hehehe unajuwa muda mwengine watu wanaamuwa tu kutafuta mada ukitumia mtu akili za haraka unaona kama haiwezekani kuwa ni Abubakar Salum mkubwa nimecheka mwisho maswali mengine uwe unamshirikisha mkeo kwanza.:becky: kweli alikuwa anakutafutia Ban mkuu tehtehteh.
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
8,936
2,000
Ndo huyo huyo
Siyo yeye,huyu ni mtoto wa Aboubakary Salum,huyu anaitwa Salum Aboubakary.Sure boy mwenyewe yaan baba yuko huku Mbezi kwa Musuguri,bwalon,,,ni mtu tu wa kawaida anakaa jiran na Juma Kaseja ndo alimuuzia kiwanja.Huwa tunakutana naye story kibao tunampiga ofa za bia na nini basi.
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
8,667
2,000
Hivi wewe una akili timamu kweli au ulikuwa JERA? kweli sure boy yule wa kuanzia miaka ya 1987(enzi za kina ROGER LILLA wa CAMEROON) mpaka leo awe anacheza mbona unatutafutia BAN bila sababu...maswali mengine uwe unamshirikisha ata mkeo kwanza.

Duh....jera???!!!! Roger Lilla????!!!! ata????!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom