Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 640
Jamani hii sasa tabu, siku hizi bundle ya wiki moja(unlimited) Voda ukitumia kidogo tu, speed inadrop hadi 20kb/s or less.Kiukweli hii inabore sana yaani bora hata EDGE kweye Airtel. Mimi nina tumia both, airtel kwa ajili ya kazi ndogondogo hasa ninapokuwa nimeuawa(kiuchumi) na Voda kwa kazi inayohitaji matumizi makubwa ya Mbs. Sasa siku hizi nashindwa kufanya shuguli zangu.
Najua Voda mnapita humu, tafadhali jamani hii ni kero. Kama vipi ni afadhali mkawa specific kwamba nikitoa hiyo 10000/= nijue mapata Mbs ngapi nitumie ziishe nijaze tena kuliko kuniunzia mbuzi kwenye gunia halafu nikifika nyumbani nikifungua nakuta mijusi wawili tu! This' not fair.
Isingekuwa bundles za Airtel ni expensive ningekuwa natumia airtel tu, internet yao ni ya uhakika.