Q Qt B Member Jan 26, 2012 78 4 May 28, 2012 #1 My Nokia N81 imeharibika display,inawaka but haioneshi kitu...naomba kumpata fundi mzuri anaeweza kunisaidia kwa bei poa jamani...nipo Dar...naimiss sana simu yangu kwa intanet nzuri...
My Nokia N81 imeharibika display,inawaka but haioneshi kitu...naomba kumpata fundi mzuri anaeweza kunisaidia kwa bei poa jamani...nipo Dar...naimiss sana simu yangu kwa intanet nzuri...