dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,808
- 61,671
Habari za mda huu wana jamii
kwa wenye ujuzi nini kina happen bongoland kwetu au kwa obama maana si kuporomoka uku kwa Tsh. dhidi ya dolari ndani ya siku 2 izi
1 dolari yaelekea 2500 TSh. kwa mdu huu