MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, pia nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza. Kuna dada ya shemeji yangu ambaye ameolewa ila katika kukua kwetu yaani utotoni wakati tulipokuwa shule ya msingi tulikuwa na uhusiano but sikuwahi kuzini.
Lakini wakati nilipomaliza kidato cha sita kwa hali isiyokuwa ya kawaida tulipoweza kuzini kwa siku ya kwanza na siku iliyofuata alikuja tena na tukazini tena, kwangu ilikuwa mara ya kwanza kumjua mwanamke na kufanya mapenzi.
Kitu kinachoniumiza mpaka leo, binti huyo ni mke wa mtu pia ameshazaa mara mbili, nataka nimtafute mme wake nimuombe msamaha ili niwe huru kifikra na moyo unaniuma sana nifanyaje But yeye huyo mwanamke nilimwacha siku nyingi.
Tushauriane vizuri ndugu zangu