Jamani shem shem....

Jamani shem shem....

ma-effect

Senior Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
100
Reaction score
137
Jamaa kwa mke wa rafiki yake:
JAMAA; Shem nakutamani!!
MKE: Embu ishia hapo hapo.hvi unadhani rafiki yako akickia maneno yako itakuaje?!
JAMAA; Nikija na milioni moja je?
MKE: Njoo kesho wkt mme wng yupo ofisini.

Jamaa kesho yake akaenda kweli akajisevia na kumpa shemeji yke milioni moja.
Mme aliporudi,ikawa hv;
MME: Vp rafiki yangu alileta milioni moja hapa?!?
MKE: Ndio.
MME: Duhh!!jamaa mwaminifu kweli.Alikopa juzi akaniahidi ataleta leo na kweli kaleta...!!Ntakopa tena!!!!!
 
Du alijua ameugida mama kumbe mashine ametoa bure mwee.
 
pesa haifai, yawa ufunguo ya wachepukaji! Usiige lkn, this is just for fun!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom