Jamani Sembe itaua watu... Check huyu tena

Hiyo jezi ni kama inajieleza vile! Au macho yangu?
 
Akiwa na hela, hakuna demu atakayekataka kupigwa denda.
 
huyu sio chuji wa yanga au nurdin bakari kweli,kwani hii jezi si ya pale jangwani hii
 
Anaonekana kachanganya kitu cha arusha + tarime mwisho wa siku hapo vumbi tu kwenye kona shaaaaaaaaaa!!!!!!
 

Wameacha punda sasa ni wazee.... wa mwisho Sijui nani

Na huyu kakamatwa kijinga hv.... yaani hata mtoto anamshtukia...

kwenye kesi yake Sijui watamfunga miak mingapi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…