Jamani selection za A-level zinatoka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani selection za A-level zinatoka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Uncle Kaso, Mar 6, 2012.

 1. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Nimehtimu kdto ch IV mwka jana nina point 24 na credit tatu ninazo,civ-C,his-A,eng-C,kisw&geo-D! Tatzo nina wacwac cjabalance! Hebu niambieni wanaJF,nitachaguliwa? Mana'ke pressure haijashuka bado!
   
 2. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Hyo nenda shule za private 2. Mchezo umeisha
   
 3. G

  GHANI JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Utapata shule usihofu mwaka huu matokeo hayakua mazuri, fanya kujiandaa tuu.
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kweli haya matokeo ya madogo yanatupa pressure sana, dogo nahisi asipopata post ya serikali atanifilisi mwaka huu, ana 3 ya point 24 na kombi za PCM, PCB, PGM na EGM ana C moja moja kila kombi, yaani amepata C ya B/maths, C ya Biology, C ya Civics na C ya Kiswahili, sijui km watamchukua aisee. anyway, nazingatia ushauri wa SIZINGA
   
Loading...