Jamani Radio one stereo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Radio one stereo!!

Discussion in 'Sports' started by kivyako, Jul 16, 2012.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,858
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  Ndg wana jf ndo kusema waendesha kipindi cha sports hawajui nani kawa mwenyekiti wa yanga?
   
 2. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Funguka nini kilichojiri hukoo?
   
 3. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,858
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  Uongozi mzima mpya umetajwa kuanzia makamu m/kiti na hakuna taarifa yoyote km vile hakukuwa na nafasi ya m/kiti
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mengi ana bifu na Yangu. Tangia hilo bifu lilipoanza na nadhani Manji kumshitaki Mengi na kumdai Shilingi moja vyombo vya habari vya Mengi havilitaji hata kidogo jina la Manji. Kwa vyombo vya Mengi jina Manji ni haramu!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu siyo waendesha kipindi. Chezea mshahara usichezee kazi. Mengi kawapiga marufuku kulitaja jina la Manji. Hukusikia walivyokuwa wakimpigia kampeni John Jambele?
   
Loading...