Jamani Prof. Mukandara anaitafuna UDSM

Mkataba wake ninao na Prof.Mukandala hana stahiki za mtindo huo.Yeye ana responsibility allowance nyinginezo ambazo haziendani na hizo.Mimi nipo hapa UDSM kwa takribani miaka mitano...siropoki.
 
Jamani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatafunwa vilivyo na Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara.Kila akienda kwao kwa mapumziko ayatakayo wakati wowote ule(Kagera),hulisafirisha kwenda na kurudi shangingi lake tupu huku yeye akipaa na ndege.Huenda na wapishi wake na walinzi ambao wote hulipiwa na Chuo.Chuo kinadhoofu kwa sababu yake.Ana matumizi mengine mengi mno ya anasa.Huyu mtu hana huruma na fedha za Chuo kabisa....
uwe mkweli
 
Wivu tuu unakusumbua hii nchi kila mtu anakula kwenye kamba yake wewe kama huna kamba kula lami
MODS futa hii comment, sisi tupo hapa kujenga sio kushabikia wizi wa mali za umma, unaposema kila mtu anakula kwa kamba yake hii unatukosea heshima hapa JF, hakuna vibaka hapa
na hatuko hapa kushabikia wizi wa mali za umma
 
nadhani kuna hoja ila tatizo hapa ni uhaya na watu wanatetea kwa misingi ya uhaya, kama kweli PROF anasafirisha gari ya serikali kutanua huko kwa kagera ni makosa simple as that, jamani nashomile hacheni kuzingua mkuu anapoint,, watani hacheni jaziba mwenzeti fisadi huyo tumkane, yeye alitoa wapi mali zote hizo na nchi hii masikini
 
Stahili zake Mukandara ni Responsibility Allowance na Mshahara tu.Hana stahiki za kifisadi hizo nilizozieleza.Alishawahi kutuma barua kwa Shangingi la Chuo.Si mmemuona Tume ya Jaji Lubuva? Huyu mtu hatari...
 
I though wewe kama Associate Professor ulikuja ku-present list ya benefits of which he is entitled....anyway, endeleeni kujivua gamba

Mie sina kawaida ya kutetea uzushi. Aliyetoa mada hii ndiye anayetakiwa kuweka evidence hapa kama wengine wanapotoa mada zao wanvyofanya. Kupiga kelele bila evidence ni uzushi na utoto. Nimetoa angalizo la UDOM kwa sababu sipendi aibu iliyowapata tutorial assistants wa UDOM itokee UDSM
 
Vijana tulieni msome, sie tumepita huko, tume experience hayo yoote! Tz Inahitaji mabadiriko ya ukweli..
 
CEOs wengi, hususani malimbukeni ndio wafanyavyo................ Kama Rais tu akienda ndege na ilivyo kubwa inajaa, iwe wa chini yake. No stone unturned..........
 
Jamani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatafunwa vilivyo na Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara.Kila akienda kwao kwa mapumziko ayatakayo wakati wowote ule(Kagera),hulisafirisha kwenda na kurudi shangingi lake tupu huku yeye akipaa na ndege.Huenda na wapishi wake na walinzi ambao wote hulipiwa na Chuo.Chuo kinadhoofu kwa sababu yake.Ana matumizi mengine mengi mno ya anasa.Huyu mtu hana huruma na fedha za Chuo kabisa....

Nikiwa mtu wa mataifa, mambo haya ya wivu wa kike huwa nayakunjia uso.

Hivi ni vitu vya kupita. Siyo vizuri sana kuvizoea kwani siku vinapoondolewa unapata shida sana.

Labda ningetegemea kuwa mtu mkubwa kama huyu angekuwa ana gari lake binafsi amepaki kule Bukoba na nyumba yenye ulinzi. Kule kwetu ukifanya kama anavyofanya huyu utapachikwa jina moja baya sana linaloashiria kuwa huyu ni mtu asiye makini
 
Kwao watajua vip kuwa amesoma?????????.Lazma akawaonyeshe.
 
Ubishi wanini. Kamati ya maadili ya Justice Lubuva imemuita wiki hii, nadhani amesha simama mbele yao. Nadhani atakuwa hajataja mali zake. Analile jumba lakifanari pale Makongo. Anadai yeye consultancies zake zakufa mtu, moja anakula dollar laki 3-5. TAKUKURU wamesha mhoji wakamshindwa. Jamaa ma 'do-I-say' kwa sana..
 
wewe unayesema kuwa hii nchi kila mtu anakula kwa kamba yake huna akili. nathani utakuwa ni mtu wa kula kulala.
 
siyo fedha za chuo ndugu, ni fedha za serikali ambayo wewe mwenyeeewe uliipigia kura. hivi likizo anaenda mara ngapi kwa mwaka? nadhani its once 28 days in a year (i stand to be corrected). na si yeye tu kaka. wapo wengi....anakifilisi je kinakosa nini?? hakuna bustani??? ndimi mlalahoi niliyekata tamaa na maisha
 
Ni ishomire yule,si unajua wahaya wanavyopenda mapompasi.......

Inaonekana kabisa wewe ni STUPID THINKER,,, mkandara anadhoofisha chuo na unazungumzia kabila lake? Shwain kabisa!

Embu tudiscuss upuuzi na matumizi mabovu yake sio kabila wa dini yake,,,, muhaya
 
Back
Top Bottom