Habar za kazi ndugu zangu?kwa moyo wangu mkunjufu naomba kupokelewa kwa mikono yote miwili...naahidi kuwa muadilifu na chachu ya kufikia wat we want...ampapo..ni dhamila muhimu..naomba mnipokee naitwa jijo..from tbr.
Huu mwandiko kama naufananisha vile,
Ngoja nije pm kuchukua namba ukininyima nitakuwa nimepata jibu,
Maana wakongwe ni wagumu kutoa namba na wakikupa wanakupa namba za beki tatu!
Habar za kazi ndugu zangu?kwa moyo wangu mkunjufu naomba kupokelewa kwa mikono yote miwili...naahidi kuwa muadilifu na chachu ya kufikia wat we want...ampapo..ni dhamila muhimu..naomba mnipokee naitwa jijo..from tbr.
Hizi ni baadhi ya nukuu zilizonivunja mbavu mchana huu. Ahsante JF, narudia tena kuapa nikiwa akili zangu timamu bila kushurutishwa na mtu kuwa JF sing'oooki ng'ooooooooo hahahaha