Habar za kazi ndugu zangu?kwa moyo wangu mkunjufu naomba kupokelewa kwa mikono yote miwili...naahidi kuwa muadilifu na chachu ya kufikia wat we want...ampapo..ni dhamila muhimu..naomba mnipokee naitwa jijo..from tbr.
Samahani. kwani kuna ulazima kujitambulisha? kwenye sim huwa nashindwa quote hadi nitumie compyuter sijui ndio sababu, na tatizo ili ni ghafla tu. ila samahani kwa swali