Jamani Pinda vipi hilo shati nyuma?

Utajuaje km ile story ya mamba ni kweli na hapo alikuwa anamalizia kuchange km the simposons? Nimecheka kweli mazee!
 
atakuwa kaweka gazeti la Uhuru mfuko wa nyuma, Lol!
 
wazee lakini wanavyoendesha mambo mpaka unashangaa na kusikitika
 
Hao watatu wote mashati yao yana kasoro, hii yote kutokana na woga wao na kutojiamini, ingekuwa wakati wa Mwalimu sijui wangekuwaje, maana inaonekana waoga sana, hofu kibao kumuona mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…