FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Duuuh, haya na mimi nauza akaunti yangu ya JF, maana ndio rasilimali kubwa zaidi niliyonayo
Kauze chato hukoDuuuh, haya na mimi nauza akaunti yangu ya JF, maana ndio rasilimali kubwa zaidi niliyonayo
Hapana mkuu, mto upo mbali na hapa.Imhotep said:Hebu niambie nije na vitu gani vya Survival maji kama Mto si uko karibu na samaki wanapatikana humohumo
Ningependa san nije huko nijibanze kwa miaka kadhaa
😀 😛 Njoo tujumuike mkuu.. mi nina mwezi sasa niko porini. Uraiani hali tete.
Nipeni mchongo aisee. Ntakula watotoUko pori gani mkuu
Sawa mkuu ila Tanzania tunaijua ikikaza imekaza kweliMasuala ya PESA hayana msimu, muda, wala zama.
Kipindi ambacho wewe unaona PESA ngumu, mwingine bomba ndio limefunguka.
Kipindi ambacho wewe unaona PESA upatikanaji wake umekuwa mgumu, mwingine anakula BATA kwa kwenda mbele.
Mambo ya PESA haya!
Acha tu
Reli ya TAZARA ushawah kupita? Kuna kituo kinaitw "Kidunda" mi ndo nipo ndani ndani huku Selous tupo watatu tumepga kambi. Kuna jamaa ametufadhili hapa tupo full na mahitaji.. nina kama mwezi sijaliona duka wala raia.
Hapa nilipo nasikia fisi kwa mbaali.. dah, haya maisha haya..!?
Kuna mtandao wa simu? Huko sio poriniReli ya TAZARA ushawah kupita? Kuna kituo kinaitw "Kidunda" mi ndo nipo ndani ndani huku Selous tupo watatu tumepga kambi. Kuna jamaa ametufadhili hapa tupo full na mahitaji.. nina kama mwezi sijaliona duka wala raia.
Hapa nilipo nasikia fisi kwa mbaali.. dah, haya maisha haya..!?
picha pleaseWadau habari zenu
Sema kweli siku hizi pesa imeadimika ile mbaya. Nimesema hivyo kwa sababu kuna baadhi ya vitu nilipanga kuuza kama Sabufa, tv n.k lakini mpaka mida hii sijapata mteja. Nikilinganisha na siku za nyuma nilikuwa nauza hivyo vitu kiurahisi zaidi hasa "sabufa"
Kama yupo mteja anahitaji naomba aje pm basi tuyajenge