Jamani Pesa Imeadimika Mpaka Sana

Jamani Pesa Imeadimika Mpaka Sana

Kigorohe

Senior Member
Joined
May 21, 2019
Posts
160
Reaction score
255
Wadau habari zenu

Sema kweli siku hizi pesa imeadimika ile mbaya. Nimesema hivyo kwa sababu kuna baadhi ya vitu nilipanga kuuza kama Sabufa, tv n.k lakini mpaka mida hii sijapata mteja. Nikilinganisha na siku za nyuma nilikuwa nauza hivyo vitu kiurahisi zaidi hasa "sabufa"

Kama yupo mteja anahitaji naomba aje pm basi tuyajenge
 
Yani kweli n tabu sana saiv mtu ukichalala ndani huwez kusema kwamba ngaja niuze kitu afu nitakuja ninunue mambo yakiwa vzr. N mwendo wa kuteseka tu
 
Mimi nauza nyumba kabisa, nataka nikapange.
Haya maisha yanavuruga ubongo
Aliyepanga anatamani kujenga na aliyejenga anatamani kuuza,Mungu kakubariki umejenga sehemu ya kujisitiri na kujihifadhi unatamani kuuza?.Ebu kaa chini utafakari vizuri,Nyumba ni Nyumba ata Kama ni chumba kimoja,viwili ama Saba. Nyumba iwe ya nyasi Iwe ya tope,tofari,miti,mbao,mawe, block au bati hiyo ni zawadi.Tafakari kwa makini majibu sahihi nina hakika unayo.wahenga walisema "Fikiri kabla ya kutenda." na "maamuzi yako ndiyo matokeo yako ya kesho"-Tafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imhotep said:
Uko pori gani mkuu
Reli ya TAZARA ushawah kupita? Kuna kituo kinaitw "Kidunda" mi ndo nipo ndani ndani huku Selous tupo watatu tumepga kambi. Kuna jamaa ametufadhili hapa tupo full na mahitaji.. nina kama mwezi sijaliona duka wala raia.

Hapa nilipo nasikia fisi kwa mbaali.. dah, haya maisha haya..!?
 
Reli ya TAZARA ushawah kupita? Kuna kituo kinaitw "Kidunda" mi ndo nipo ndani ndani huku Selous tupo watatu tumepga kambi. Kuna jamaa ametufadhili hapa tupo full na mahitaji.. nina kama mwezi sijaliona duka wala raia.

Hapa nilipo nasikia fisi kwa mbaali.. dah, haya maisha haya..!?
Hebu niambie nije na vitu gani vya Survival maji kama Mto si uko karibu na samaki wanapatikana humohumo

Ningependa sana nije huko nijibanze kwa miaka kadhaa
 
Back
Top Bottom