Jamani Panya hawa


ha ha ha.....kumbe upo kule chumbani eeeh......utakuwa nani sasa.......nilisoma ile story......badala ya kucheka niliogopa.......na picha juu ya mume anaefuatiliwa ilikuwepo........
 
Dawa ya panya ni paka tu, baaaaaaaasi

Muda wa kumfundisha wapi ajisaidie ni heri kuwatafuta panya kwa rungu!!! Maana kama hujampatia shule Paka wapi ajisaidie usishangae kukuta MCHELE kwenye KISALFETI ndio choo yake ya hajakubwa; gunia la maharage ndio sehemu ya kupatia haja ndogo...Hapo hajasumbua na manyoya yake kwa watoto.....PAKA naye ana kero zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…