Bado hujaweka point muhimu sana kwenye hii thread yako!Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya!
Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali hapa jamvini lakini hizi zilikuwa kiboko!
Hapa jamvini watu tumekuwa tukiilaumu serikali na maisha magumu kwa mtanzania lakini kwa niliyoyaona jana nimegundua kuwa watu wengi hapa tuna fake! Haturepresent true picture ya hali halisi! Mtu utasemaje una maisha magumu wakati una uwezo wa kutumia Internet kukoment hapa JF 24/7?
walikuwa real, na walichoongea kilikuwa na mguso wa aina yake!Kwenye dala dala
Nawashauri pandeni dala dala mkitaka kujua mengi! Ilinigarimu tu 500 kutoka Mwenge mpaka Mbagala
Kulikuwa na mada nyingi, kutokana na foleni zetu za jijini, nyingi za kisiasa na kiuchumiBado hujaweka point muhimu sana kwenye hii thread yako!Ulisikia maongezi gani kwenye daladala?Lakini pia kuwashauri watu wapande daladala ni maajabu kwangu, maana ndiyo usafiri wa kila siku wa 70% ya wanaJF hapa!Sijakuelewa!
Ni wananchi wangapi wenye uwezo wa kununua computer? Ni wangapi wenye uelewa wa matumizi ya internet?UN wamesha declare internet kuwa haki ya kila mtu ..... afterall nowadays a bundle of internet 400MB is TZS 2500 per month, and if you use jf and other mail services it can last for three weekshaina maana mtu anayetumia internet maisha ni mazuri kwake
Ni ipi inatisha kati ya hizi?
Ama kweli Nyani haoni mgongowe!
Ni wananchi wangapi wenye uwezo wa kununua computer? Ni wangapi wenye uelewa wa matumizi ya internet?
Ni ipi inatisha kati ya hizi?Ama kweli Nyani haoni mgongowe!
Mkuu ... mbona kama unakremu .... internet inapatikana kwenye simu za viganjani na hata siyo lazima umiliki pc ndiyo unaweza access internet... waweza kwenda cafe na kupata huduma hii unapoihitaji kama vile unavyokwenda hospitali au polisi pale unapoumwa au unapofanyiwa uhalifu ..... sasa hivi hata matokeo ya mitihani hutolewa kwa internet .... siyo lazima kila mwananchi awe na internet access .... kama ilivyo siyo kila mwananchi ana bomba la maji .... wengine huenda kuchota maji kwa jirani na kwenye madimbwi na mito
Hahaha... Kumbe huwa mnafeel? Kuna baadhi ya wadada huwa wanapenda, unashangaa mdada anakuja kusimama na kukupa mgongo nyuma yako kabisa! Sasa hapo unategemea nin?
MR na wewe unaenda Mbagala leo?Sa tufanyeje jamani na ki hiace kimejazaa na sie twataka wahi home lol:tonguez:
MR na wewe unaenda Mbagala leo?