alaaaaaaaa.........nimekurupuka jamani!!!!!!!!!! nikajua ni huyu mkereketwa
hahahahahhaahahaahahahahahahahhahaaaaaaaaaaaa tobaaaa naachika mie .................uuuwi ntauweka wapi uso wangu...............yalaaah kipenzi sosoliso,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,uuuuwi niwie radhi!!!!!!!!!!!
nakuja hapo regency sasa hivi hata kwa mguu siogopi mvua mie!!!! kumbe mzaa chema!!!!!!! ......oooh sob! sob!!
heheheeeeeeee................mume wangu sosoliso, eti tumzae huyu naye anyonye?!?!?! khaaaaaaaa
yaani nikupiku kwa mke wangu Paloma..? wewe Mkereketwa_Huyu unahitaji maombi.. pliers za kung'olea kucha zimeniishia ujue.. ntakung'oa kwa jembe kucha hizo.. wewe shauri zako..
babe Paloma huyu ametumwa.. sio bure.. achana nao hao.. nampeleka mkweo Regency pale hospital.. baadae umpitie kumrudisha hom basi..
Bado nabembeleza tu, kwa kuwa sosoliso ni mumeo basi mpe jukumu la kwenda shamba for the weekend akatizame mifugo ama tu kupoteza muda ili mimi nije just for a while nijipumzishe kwako mamaaa, nataka kunyonya tu plz.:A S-heart-2: I am waiting for a positive answer from you. Naenda nunua diapers Mlimani City kujiandaa kuja kwako for the weekend.
ana ta.ko zuri..!
"okay! ntakunyonyesha, uthijali"
"okay! ntakunyonyesha, uthijali"
Ah, ahsante sana na ubarikiwe daima kwa huruma ulionao kwangu. Basi ngoja niendelee na msafara wangu kule Mlimani City kununua zile diapers maana nilisita kidogo baada ya kupata habari ya kukataliwa. You are the best na will always cherish you as a role model wangu na sosoliso ni adui namba moja.
ana ta.ko zuri..!
Nimekubali mara hii nna huruma n the best role model n my sosoliso is ur adui namba moja! U so so pathetic! Cc sosoliso hapati hata maziwa ya sungura! Tena ukimuona popote pls mfanye lolote! +&*¤%!¡¿; kabisa! Mmnnxieew
Utamnyonyesha kwa yule ng'ombe wa maziwa aliezaa juzi eeh.. Maana anapenda sana kunyonya huyu..
Babe, hatapata hata ya mbuzi!!!
umeona eti nimekataa anasema nina roho mbaya, nimekubali makusudi nione atasema nini - ghafla nina roho nzuri!!!!!!!!
wizzzzzi mtupu huu!!! we Mkereketwa_Huyu umeula wa chuya!!!!