Mwenyewe nkwafanyia application madogo zangu kama watatu hv ni mmoja tuu nilipata username na password wametuma kweny email, zingne zimekaa ni siku ya sita hamna kitu kila mara nacheck email kwenye span massage hakuna kitu. IT wa NACTE ni jipu Kwa kweli!