jamani wana f\jf, naombeni msaada jinsi ya kuapply kazi form utumishi mana napata utata, mfano kazi ina waajiri wengi ie wizara aya fedha, wizara ya maji n.k, je nkiapply tume ya ajira mojakwamoja watajua naaply kwa mwajiri yupi? au nafanyaje? mfano hizi post za juzijuzi kazi ya assistanjt accountant posts 60.help me please