Jamani nliwamiss sana wana MMU

Jamani nliwamiss sana wana MMU

sintah

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
187
Reaction score
191
jaman nlikwakumbuka sana nlisahau password so nkawa nakuja kama guest tuu

aya twnde kwenye mada sasa naombeni mnielekeze jinsi ya kufunga PM
 
Ungeli kuwa engineer ungelifutiwa leseni yako kabisa...
Unasahau password uloweka mwenyewe...!!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
jaman nlikwakumbuka sana nlisahau password so nkawa nakuja kama guest tuu

aya twnde kwenye mada sasa naombeni mnielekeze jinsi ya kufunga PM
ukifunga pm mimi nitakupata wapi tena
 
Sasa ulitumis then unataka kutublock kwenye pm huo sio ubinaadam,tuone huruma wenzio.
 
Kwa kweli hata mimi nilikumis sana ila sikuwa na namba yako, ni PM ili tusopotezane tena
 
Karibu tena Ila kuwa makini usisahau tena akaipata shemeji patakua hapatoshi
 
Back
Top Bottom