Jamani Niwishini Happy Birthday Basi! ! !

Acha tu ndo nafikiria hapa nichangieni kwanza kwa m-pesa ndo tupange mipango tehe tehe...
Hako katafrija kafupi cha kukupongeza katafanyikia bar gani?
HPPY BRTHADAY DON MANGI!!
 
heri kwa kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akupe maisha marefu zaidi na zaidi.
 
Thank you all, once again, twice again and thrice again.
 

heri ya siku ya kuzaliwa mkuu!
Mungu Mwenyezi, anayeishi juu sana, akuzidishie sikuzo za kuishi hapa duniani, akuepushe na majanga yote!
Sema 'amina'...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…