Jamani nishaurini, nile au nisile...?

Jamani nishaurini, nile au nisile...?

kaone kashachakachua maneno yangu tobaaah!!!
hivi jamani mume wa huyu bi mkubwa yupo wapi?
Ana mume amtoe wapi? Alikuwaga mke wa uporoto01 akaachika na kujihamishia kwa Judgement, nako pakamshinda sahivi anatanga tanga na kukodolea macho waume za watu ukiwemo wewe baba kipenzi.
 
Last edited by a moderator:

Mtambuzi mimi nataka matokeo! Ulikula au hukula? Samahani nilichelewa kuona thread hii kwani nilikuwa nafuturu chakula fulani nakulaga mimi PakaJimmy na LiverpoolFC, kinaitwa nyagi. Haya nipe taarifa!
 
Last edited by a moderator:
Ana mume amtoe wapi? Alikuwaga mke wa uporoto01 akaachika na kujihamishia kwa Judgement, nako pakamshinda sahivi anatanga tanga na kukodolea macho waume za watu ukiwemo wewe baba kipenzi.

We mtoto wewe!!! Ntakung'oa meno kwa kucha!!! Kwanza kakojoe ukalale
 
Last edited by a moderator:
Husninyo said:
Mimi ni mama wa miaka 42, mpaka sasa ninavyoongea sina mume maana nimeachika. Jua langu mvua yangu, sina pa kwenda mwenzenu...kama kuna mwanaume yoyote anayehitaji mama la haja naomba aniPM

Hunikamati ng'oo nimekushtukia...
 
yaani siku nitayosema hivyo mbwa wa mzee Hassan hapa mtaani kwetu atapiga mswaki na kolgeti....

Never say never... Lol!! Ngoja nikimbie zangu. sweetlady napaliwa mwenzio ( yu no wot ai min eeeh)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom