Very fine lovely dady!
kwanza nshahairisha. mitoto yako yenyewe mibayaaa!!! lol
Khaaa! Shindwa pepo ! Hatutaki mama wa kambo sie.yeeeeaaah! niadopt niwe mama yao. lol
Hehehehe! Sizitaki mbichi hizikwanza nshahairisha. mitoto yako yenyewe mibayaaa!!! lol
Achana nae huyo dady, amekutega hutegeki ndio mana anapondawe wataka watoto au wamtaka baba...??
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa, mkuu umeuwa mbaya.......... Lo lo lo lo lo loooooooo...............!!!!!!Pole kwa changamoto za kichina Mkuu wangu Mtambuzi. But ningekushauri kabla ya kula ungemcheki kwanza huyo mchina kama amepigwa pasi......................... ukishahakikisha kuwa hajapigwa pasi trela iko sawa unaweza kula tu.
Ila ukigundua amepigwa pasi hana kitu kwenye trela usile manake unaweza jikuta nawe unapigwa pasi. vyakula ndo vinasababisha mtepeto kaka kuwa makini!
Usijali dady, daughter kwasasa yuko vizuri kabisa! Anza kutega masikio tu.nafurahi kujua waendelea vyema kitinda mimba wangu...nimemis kweli zile stories zako!
Achana nae huyo dady, amekutega hutegeki ndio mana anaponda
hehehe...wasio na watoto watajibeba mwaka huu!!Usijali dady, daughter kwasasa yuko vizuri kabisa! Anza kutega masikio tu.
Mie napenda boga na ua lake ati.we wataka watoto au wamtaka baba...??
Sishindwi ng'o..... Na ngoja niwe mama yako utantambua we mtoto. LolKhaaa! Shindwa pepo ! Hatutaki mama wa kambo sie.
Achana nae huyo dady, amekutega hutegeki ndio mana anaponda
Hahahaha! Acha kumdanganya baba etu bana lol. Hujaacha ujambazi kumbe, eti unapenda boga na ua! Khaaa, toka lini?Mie napenda boga na ua lake ati.
Sishindwi ng'o..... Na ngoja niwe mama yako utantambua we mtoto. Lol
Mie baba yenu nampenda kiukweli ujue. Usisababishe nikajirestisha in peace kabla ya umri.
By Husninyo

Mie napenda boga na ua lake ati.

Sishindwi ng'o..... Na ngoja niwe mama yako utantambua we mtoto. Lol
Hahahaha! Acha kumdanganya baba etu bana lol. Hujaacha ujambazi kumbe, eti unapenda boga na ua! Khaaa, toka lini?

Utasubiri sana kuwa mama yetu.
Hapa ushafeli mama, umechelewa sana maana yupo laaziz mwandani wa mtima wangu na ndiye mama wa binti zangu....Mie napenda boga na ua lake ati.
Husninyo said:Sishindwi ng'o..... Na ngoja niwe mama yako utantambua we mtoto. Lol