My bf alinipia simu wakati nipo kazini nilikuwa nimetingwa na kazi nikashindwa kujibu simu yake cha ajabu nilipotoka job nampigia apoke u know what anasema nisimsumbue mpaka anitafute mwenyewe nimejaribu kumplz anakumuambia nilitingwa na kazi amegoma kunielewa ameniambia atanitafuta kwa wakati wake plz nisaidieni