Jamani nisaidieni..

Pretty R.

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
200
31
Hivi mtoto kutokujua kusoma mpaka anarudishwa darasa zaidi ya mara nne, tatizo ni nini? Ni mental retardation? Msaada wenu madoctor wa jf.
 
Inawezekana n MR lakini wakati mwingine inategemea na mwl anayemfundisha hasa akikaa na normal pupil, huyu unatakiwa kumpeleka shule special school. Lakini kabla ya kumpeleka huko mpeleke kwa psychiatric Dr utasaidiwa cha kufanya. Kama upo Dar nenda Muhimbili wapo wa kutosha
 
kuna kitu kingine kiutaalamu kinaitwa dyslexia.ni learning difficult.jaribu ku google upate information
 
mdogo wangu alifika STD 3 hajuwi kabisa kusoma, mama alimkazania kumfundisha mwenyewe, kila akitoka shule, Huwezi amini ndugu yangu, STD 7 alikua wa kwanza, kaenda o'lvl akapata Dvn. one, tunawait matokeo ya A'lvl alikua PCB, mkazanie mwenyewe walimu wengine hakuna kitu..
 
Bila kumuangalia mtoto mwenyewe huwezi kujua ni nini.
Inawezekana ikawa ni learning disability, Inaweza ikawa lack of concentration, Inawezekana ikawa kosa la mwalimu. Inawezekana ikawa ni muoga anaogopa kuuliza na pia sababu ya kurudishwa mara nyingi ame-loose confidence na kuanza kuamini maneno ya watu kwamba yeye ni mjinga.

Kuwa nae karibu na ufahamu shida ni nini ili uweze kurekebisha pia fuatilia interests zake ni nini, na kama anakuwa bored kujifunza jaribu kumuonyesha how learning can be fun, pia muamishe shule sababu kurudia mara nyingi shule moja inaweza kupeleka yeye kuloose confidence, kuchukia shule na kuacha kujitahidi.., mpeleke hata shule za nje na mpe ma-tuition kuliko kumrudisha madarasa.
 
Asanteni sn wana jamii wenzangu nitajitahidi kufuata ushauri wenu. Thanx indeed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom