Jamani nisaidieni ndoa yangu

Pole sana dada Safina. Hivi katika hiyo miaka 16 ya ndoa yenu imekuwa hivyo siku zote au tatizo hili limeanza hivi karibuni? Inawezekana kuna mabadiliko katika maisha/mwili wa mwenzio ambayo yanamsababishia kupoteza hamu ya kufanya tendo kama imeanza karibuni. Ukishajua tatizo ni nini ndo inakuwa rahisi kutafuta suluhisho la kudumu. Ninavyoelewa mimi with age nguvu ya kupiga mabao inapungua, lakini six months ni too much!!
 
Wapwaaz na Binamu wamekushauri vilivyo; kwa kweli fuatialia ushauri wao utafanya kazi tu! But Dah............namwonea wivu huyu mumeo!:A S tongue:
 
Jamani mimi hainipi akilini kabisa kuwa kweli mwanaume aliyekamilika anaweza kukaa muda wote huo bila ku do. Kama yuko fit basi atakuwa na mwanamke wa nje. Jaribu kufanya uchunguzi kuhusu hilo!! Nashindwa kuelewa kwani mimi mr wangu akiniona tu navua, ngoma iko tayari hata kama mimi sina hilo wazo sasa huyo wa kwako ni binadamu wa namna gani? Kuna uwezekano pia labda alipokuoa ulikuwa na shape fulani then baada ya kuona umefika ukajisahau hiyo kitu huwa inavunja ndoa kibao mifano ninayo. Unajua wanaume ni kama watoto wadogo, leo akikupendea kitu fulani baada ya muda kile kitu kikawa hakipo na mapenzi au hamu na wewe inaisha. shauri yako be wise lady
 
Pole sana Safina kwa hili jambo kwangu mie naona tatizo na wewe pia unalo
Kwanza wewe na mmeo wote nadhani wote ni wasomi hivyo mambo ya mila hayatakiwi kuwasumbua.
Je pale unapojisikia unahitaji unyumba umeshawahi kumwambia mmeo ama kumuonyesha hata kwa vitendo akagoma kukuhudumia??
Pili umesema huwa mnatoka out wewe na mmeo kama mwanamke sometimez inabidi uwe busy kujenga mazingira ya kumfanya mmeo akutamani shost.Inabidi ujitambue unahitaji nini na kwa wakati gani. hapo hata mila zitasahaulika .
Ila na huyo mmeo kama hana nyumba ndogo basi anatatizo ..wanaume huwa wako very active katika mida fulani iweje wako akae miezi nane bila kuomba tunda????
Kuna tatizo sehemu hebu jaribu kukaa nae ondoa hayo mashaka uliyonayo moyoni na mliongee hili jambo.usipofanya hivyo unaweza kujikuta umeingia katika vishawishi
 
mimi kwa kweli mila za kipuuzi hizi nazipiga chini hata bil akuulizia. Hii ni haki ya msingi kwa mwanandoa, iweje bibie uteseke kwa miezi yote hiyo kwa kutopata 'conjugal rights zako??

plz plz hebu vunja huo ukimya zungumza na mumeo. vinginevyo utajikuta unafanya uamuzi mbaya sana kwa sababu kila kitu kina mipaka. kuna siku huo uvumilivu utakushinda ukaingia majaribu ya kutafuta pa kupoozea

labda mumewe ndo bwana mayenje B..who knows...
 
Hongera Dada kwa kupata mume wa namna hiyo, hivi kwa miaka yote umeshindwa kumjua mumeo? tuko ktk ulimwengu mwingine ulio na uwazi na ukweli hebu vunja ukimya nawe badilikia, ukijisikia kunyevua nyevua unamwambia tu kwani kwa miaka yote hiyo hope mnajuana na hakkuna kuoneana haya. kumbuka naye ni binadamu huenda anaona kila siku anakuanza kama vile anakulazimisha. mwonyeshe kuwa nawe huwe unanyevuliwa. kila la heri dada S, your feed back will be appreciated for the benefit of others.
 
Dada, tumia kwanza ushauri huo ulotolewa na kama hautafanya kazi ushauri ambao ni wa kuijenga ndoa yako basi rudi tukupatie wa kuifanya ndoa iwe ya kisanii. Maana huko nako wana JF wapo.
 
Mimi nina thwali, huko nyuma ulikuwa unaonesha ushirikiano kiasi gani katika 'mila na desturi'? wakati mwingine hata kujifanyisha kuwa unatoa ushirikiano vinamfanya mwenzio akutamani na hata akiwa mbali akufikirie.. ila kama ushirikiano unaotoa ni ule ninaojua miye wa watu wa mila zetu wa "niangusage tu".. unaweza kukuta na yeye anapita mahesabu jinsi ulivyomgumu kutoa ushirikiano. Kumbuka ushirikiano siyo suala la kuingiza mguu kwenye kiatu, bali ni swala la kutembea na kiatu hicho! So, mshangaze kwa kumpa "ushirikiano" mahususi ambao msingi wake ni kudumia "umoja, amani, utulivu na mshikamano"..
 
My dear safina, mbona 16 yrs are very enough kumfahamu mumeo kipenzi? usimuogope please, anza kumsemesha. ukimya wako kwake unaweza kumfanya ahisi kwamba wewe huwa hutamani hilo tendo special, pengine for all the yrs are together yeye ndo huwa anaanzish libeneke, na inawezekana ameamu kabia kukaa kimya ili akusikilizie na iwapo utaendelea kuhold mila zako hizo mwenzio aweza hisi kwamba una kaserengeti boy some where. so please you better start kumtege tega kiaina hivi kama huwezi kutamka. yeye ni mtu mzima bana ataelewa tu unatamani, na iwapo hatakuelewa kabisa kwa mitego yote humo chumbani, basi atakuwa na shida then tutajua tukuambie nini baada ya hapo.
You know what? hakuna mwanaume atakayevumilia kutomsogelea kipenzi chake, a mother of three iwapo atakuona tu naked..... maana hapo ndo mwisho wa yote....
also try like having ashower together kama mlistop kwa muda unknowingly mnapunguza mapenzi, try things like eating together, kissing him evry mng and night when heis back, na mengine mengi tu siwezi yasema hapa my sister... please, okoa ndoa hiyo fasta...
Habari wana jamii,

Naombeni msaada wenu wa kiushauri, na naomba uwe ushauri wa ukweli kutoka mioyoni mwenu, maana hii ni true story its not a joke haya ni maisha yangu, mpaka nimeamua kuwashirikisha hili jambo mjue kweli yamenikuta.

MImi ni mama wa watoto watatu. Ndoa yangu inatakribani miaka kumi na sita, kwa kweli tunamshukuru Mwenyezi Mungu ametujaalia uwezo, kwa sababu wote tunafanya kazi Mr. amejiajiri ana kampuni yake binafsi mimi pia ni mjasiriamali. Pesa tunazo za kutosha si kwamba najisifia hila tunaishi maisha mazuri na tunawasaidia ndugu zetu wote wa pande zote mbili.

Tatizo langu ni kwamba mume wangu mpenzi, baba wa watoto wangu, sijui ana tatizo gani? Maana jamani kuhusu unyumba ni shida mno mnoooooooooooooooooooo. Yaani uwezi amini tunaweza kukaa hata miezi 6 - 12 hatujadumisha mila. Sielewi jamani wenzangu naombeni tu mnisaidie.

Tumeoana kabila moja, na kikwetu huwa mwanamke haruhusiwi kumwomba mchezo mume wake hata kama una hamu kiasi gani. Tatizo lingine ni kwamba yeye ndiye mwanaume wangu wa kwanza kunileta katika ulimwengu wa mapenzi.

Kifupi kila kitu ambacho mwanamke angetamani mume wake amfanyie napata, kwa mfano: watoto wanasoma shule nzuri, tunakula vizuri, sehemu za starehe yaani nikimwambia mume wangu leo twende, twanga, wazee wa ngwasuma, na nyinginezo unazozikua hana shida. Hata kama yuko nje ya mji kikazi kukiwa na shughuri za namna hii huwa hana neno, ananiruhusu tu mpaka watu wa pembeni (yaani majirani na marafiki) kwa kweli huwa wanatamani maisha yetu huwa mashosti zangu wanasema kwa kweli wangetamani kuwa na mume kama wangu, mimi huwa nawajibu tu kwamba aksanteni, ila langu moyoni. Kuna shostito wangu mmoja huwa ndie ninashare naye, yeye ananiambia nijitahidi tu kusema naye (yaani eti mie ndie nianzishe libeneke)

Hebu wadada wanzangu mlioolewa naombeni mnisaidie, hata wakaka pia nanyi mnawafanyia wake zenu haya au inakuwaje jamani. Yaani muda huu ninapoaandika thread hii niko total confused maana nina kama miezi 8 sijapata mambo.

Wanajamii wenzangu tafadhali naombeni mlichukulie hili suala kwa uzito unaostahili
 
Mtafutie viagra, jogoo litawika mpaka akome kuringa, then mkarishe chini mpe somo.
 
Safina, miaka kumi na sita ni mingi mno. Mimi ni mwanaume and I don't see myself easily aroused by a woman I have been sleeping with for 16 years.

But that could be just me, may be your hubby is different.
 
:pound: ningekushauri lakini umeamua kuomba ushauri kwa wadada wenzako walioolewa nami ni mwanaume. nakuombea ili mungu akupe haja ya moyo wako kupitia kwa mr wako na si vinginevyo! kila la heri safina!
:lying:ahhhhhh acha uchowo wewe km unataka kumsaidia mawazo asi umsaidie tu sa cha kujitia waDADA tu ndoo wameombwa kitu gani?
ebu acha ujembe uo km una fruitful advice pls gve t 2ha!!
pole safina jaman
unaniogopesha mwenzangu ata kuolewa kwenyew km ndo uko!!!
mi staki kabisa dah bora ata mngekuwa bfrend na galfrend mbona ungemtimua ........dahh no muhogo wa jangombe miezi 8 ...sa unakaa nae wanini ? pamb?
dai dudu bib weeeeeeeeee !!!!!!!!km vp nenda KWA MSHENGA !!!!!!!!
pole dadangu!!!!!!!!!!!!

ndoa makorokocho eenhhhhhh ???????:crying:eek:h mamamaria nsaidie mimi .....roho wa mungu nipe busara na hekima mume atakayenijia awe mpya na mtamu kwa kunijaalia yote nitakayoyataka kwake :amen:
POLE DADA!!!!!!!!!!!
 
:lying:ahhhhhh acha uchowo wewe km unataka kumsaidia mawazo asi umsaidie tu sa cha kujitia waDADA tu ndoo wameombwa kitu gani?
ebu acha ujembe uo km una fruitful advice pls gve t 2ha!!
pole safina jaman
unaniogopesha mwenzangu ata kuolewa kwenyew km ndo uko!!!
mi staki kabisa dah bora ata mngekuwa bfrend na galfrend mbona ungemtimua ........dahh no muhogo wa jangombe miezi 8 ...sa unakaa nae wanini ? pamb?
dai dudu bib weeeeeeeeee !!!!!!!!km vp nenda KWA MSHENGA !!!!!!!!
pole dadangu!!!!!!!!!!!!

ndoa makorokocho eenhhhhhh ???????:crying:eek:h mamamaria nsaidie mimi .....roho wa mungu nipe busara na hekima mume atakayenijia awe mpya na mtamu kwa kunijaalia yote nitakayoyataka kwake :amen:
POLE DADA!!!!!!!!!!!

kadada umenichekesha sana na comment zako :pound:
 
Jamani ni kabila gani hiyo ambayo ina hizo mila? na je tutafata mila mpaka lini? na wakati mnafunga ndoa yenu msajili hakuwaeleza kuwa kila mmoja ana ruhusa kumuanza mwenzake? jaribu kuwa mbunifu,kama mume wako hana tatizo lolote ukiwa mbunifu sidhani kama mtakaa kipindi chote hicho.
 
:lying:ahhhhhh acha uchowo wewe km unataka kumsaidia mawazo asi umsaidie tu sa cha kujitia waDADA tu ndoo wameombwa kitu gani?
ebu acha ujembe uo km una fruitful advice pls gve t 2ha!!
pole safina jaman
unaniogopesha mwenzangu ata kuolewa kwenyew km ndo uko!!!
mi staki kabisa dah bora ata mngekuwa bfrend na galfrend mbona ungemtimua ........dahh no muhogo wa jangombe miezi 8 ...sa unakaa nae wanini ? pamb?
dai dudu bib weeeeeeeeee !!!!!!!!km vp nenda KWA MSHENGA !!!!!!!!
pole dadangu!!!!!!!!!!!!

ndoa makorokocho eenhhhhhh ???????:crying:eek:h mamamaria nsaidie mimi .....roho wa mungu nipe busara na hekima mume atakayenijia awe mpya na mtamu kwa kunijaalia yote nitakayoyataka kwake :amen:
POLE DADA!!!!!!!!!!!

Mmmh! mwenzangu pole sana dada Safina kweli Ndoa bila dudu wala Haiuu kabisa mwambie kama utani vile kwakuwa ni mtu mzima ataelewa japo cjaolewa ila mmmh! ndoa zina mambo hadi naogopa
 
Natamani uvumilivu huu ungewaambukiza wote wasioolewa na wasiooa ili dhambi ya uasherati/uzinzi iishe.
 
inawezekana kuishi na mwanamke ndani ya nyumba, kitanda kimoja na usimtamani hata kidogo........uko busy unatafuta pesa, unachoka kila siku, unaamka asubuhi sana kila siku, jioni unapata mambo yetu yale, ukirudi, unawaza kwenda kuchukua hela yako kwa massawe kabla masawe hajaenda kufunga mzigo mwingine,... and the story goes on and on...

Mama watoto nae hivyo hivyo......huo muda wa kuchoshana tena muda wa kulala utatoka wapi??!!!

They have the same mission, Kutafuta PESA. kwa hiyo, muda wao wote unaishia kwenye kutafuta pesa.

bi mdogo, kama unataka kula dudu, inabidi m-revisit priority zenu! include F**king in there, create time for it, start with once a week........jumapili probably.

LAKINI NA WEWE MWONYESHE WHAT YOUR MAMA GAVE YOU!! sio unakaa kaa kama Toyota Stout Dume..zile zinazo beba mbege kibosho kupeleka Arusha!!!
 
Natamani uvumilivu huu ungewaambukiza wote wasioolewa na wasiooa ili dhambi ya uasherati/uzinzi iishe.
Ivi statistic zinasomaje hapo kati ya walio kwenye ndoa na wasio!! % ya uzinzi/uasherati ipi kubwa?
 
Watu wengine tunatoa ushauri wa ''Kiisidingo'' vile.......! ingemfaa zaidi kumpa ushauri ambao ni practical zaidi! We Safina, huyo jamaa yako kwanza inaonekana umepoteza kabisaaaaa mvuto kwake, so mshikaji yupo yup tu kwa sababu tayari mna watoto na pengine mmefunga ndoa (ya kikristo pengine), so anashindwa atakudamp vipi.......! laiti msingekuwa na watoto jamaa angeshakudamp zamani! mambo mazuri anayofanya ni kwa ajili ya kuwafurahisha watoto tu....si wewe! Kudhibitisha kuwa haya ni ya kweli, huyo jamaa yako hauko naye friendly sana, hamuwezi kukaa na kupiga naye story kama mtu na rafiki yake, kila mmoja akiamuka hutimkia kwake, mkirudi chakula, WC(pengine) then mbonji.....kila mtu kivyake.....! story zipo in form of maswali......! hii ndo halisi mliyo nayo bibie, sasa with this don't expect mzee kukutamani ndugu mdo ze needful!

Huyo jamaa yako ana kipozeo somewhere, kama wengi wanavosema, ni vigumu kwa mwanamme kukaa 6 months bila kudo....hasa akiwa kazoe hako kamchezo....so jamaa ako kunasehemu anapoza roho yake.....!

Ushauri, jitahidi kujichunguza uone ni umebadilika nini ukilinganisha na ulivyokuwa mwaka 16 iliyopita? angalia unabehave vipi, unaongeaje, unavaaje, unalalaje, unajishughulishaje hapo home, cheki mambo ya usafi (nyumba, mdomo, nywele, kunako mahali-downstairs, nguo).....haya mambo kama hayaja kaa sawa husababisha midume kukosa kabisa hamu na wake zao na then huamua kwenda kutafuta vilivyobora nje....hasa kama wanauwezo kama huyo wako!
 
Back
Top Bottom