Jamani nisaidieni, mke wa rafiki yangu kataja jina langu wakiwa faragha.

kwanini akutaje kama haukuvunja naye amri za Bwana.
mtu anapofikia kukufuata home kwa ajili hiyo ujue
yuko serious. kama vipi mwambie uko na kazi
nyingi ili upate muda wa kuyafanyia kazi,
jitahidi usitume sms au kumpigia mkewe.

vinginevyo kimekula kwako.

Nashukuru sn mkuu ushauri wako nitaufanyia kazi. Samahani sana wakuu nilikuwa kusoma sasa endeleni kunipa ushauri.
 
jibu lako tata,si uwe wazi tu.Umekula au ujala mambi?

Nadhani mtakumbuka mwezi uliopita niliwahi kuleta uzi humu ulikuwa unasema nataka kutembea na mke wa mtu, sasa ndio yule aliningangania kweli.
 
Mkuu mbona nipo? Nimesema sikumbuki kama nilikula au la!

Ndiyo kusema imefikia hata unaowalamba huwakumbuki !
Basi shughuli pevu!
Hebu jaribu kuwakumbuka walau 60 tu ! Ktk uliokwishawalamba , hao wengine waache.
 
Yeye alipaswa kuketi na mke wake kwanza amuulize kwanini anakutaja wewe kila anampohemka, kama hataridhishwa na maelezo ya mke wake basi ndio angekuja kwako...lakini pia hujataka kufunguka vizuri kwani kwa maelezo yako ulikabidhiwa uangalizi na majukumu nyumbani kwake kwa kipindi ambacho hakuwepo, huenda ulienda extra miles mkuu ukajinafasi mpaka majukumu ya chumbani.
 
Ndiyo kusema imefikia hata unaowalamba huwakumbuki !
Basi shughuli pevu!
Hebu jaribu kuwakumbuka walau 60 tu ! Ktk uliokwishawalamba , hao wengine waache.

Mkuu judgement, mimi sio mhuni kivile kama unavyodhani nadhani hata kama wapo hawazidi wa3 na huyu akiwemo kama tuli-do naye.
 
Mke wa mtu ni sumu... Jiandae nawewe kumegwa kama ulimtifua mke wa mtu.. Hii ndio adhabu iliyopitishwa kijumuia these days..
 
matokeo una ngapi vileee?

Mi nikiona mtu anahangaisha ubongo wake na kupost kumsaidia Wa Kusoma kwenye thread zake,huwa najiuliza kama walishawahi kukutana Mirembe,wakiwa wodi moja ama walikuwa wanakutana kwenye lile disko lao la weekend...
Namshangaa sana!
 
Nitafute utanipata mwanaizaya wewe, achana na mimi kabla sijakufanya kama nilivyowafanya EXCELLENT na WASHAWASHA.
 
Mwana nenda bila woga ila uwe na mtu mwingine akucndkize ili kuepusha ushari na awe mtu mzima akawe shahidi
 
Jamani nina rafiki yangu wa karibu sana. Alisafiri kama miezi 2 hiv kwenda nje kimasomo, kama kawaida mimi ni mtu wake wa karibu hivyo aliniachia majukumu ya kumuangalizia familia yake. Sasa amerudi juzi j1. Leo kanifuata nyumbani kistaarabu na kuniambia kuwa tangia afike amekuwa akimshangaa mke wake anatajataja sn jina langu hasa wanapokuwa kitandani wakila tunda. Mimi nimeshindwa la kumjibu nimemwambia nitaenda kwake jioni tuongee kifamilia lkn lengo langu kubwa ilikuwa nije kupata ushauri huku.

Ukome kula vya watu. Jamaa anafukuza mwizi kimya kimya, lazima ubishe hodi polisi.
 
Nadhani mtakumbuka mwezi uliopita niliwahi kuleta uzi humu ulikuwa unasema nataka kutembea na mke wa mtu, sasa ndio yule aliningangania kweli.
.Duh!! kumbe ni muendelezo season 2...Haya mkuu ongera kwa kufanikiwa,ila akijuaaa mumewe...Cha kufanya sisitiza siri,ingawa amna siri ya watu wawili tumia ubabe mpige bit mwanamke,asikutajetaje
 
makubwa hapa sipiti, unajua ukikaa na mtu muda mrefu kama unapenda kuita jina lake lazma unakosea na kumuita tena, pole kama hukua na bad intention:thinking:
 
Nitafute utanipata mwanaizaya wewe, achana na mimi kabla sijakufanya kama nilivyowafanya EXCELLENT na WASHAWASHA.

mwanaizaya mwenyewe!

Kama unajitambia Excellent na Washawasha,mi sina haja ya kutamba mbele ya kibushuti usiye na uwezo wa kufikiri kama wewe!

Mi nakurekebisha tabia yako kwa faida yako ambayo we mwenyewe unajiona kabisa unavyoenda segemnege...la kama hujijui..itachukua muda mrefu kukusaidia.. Baki hivyohivyo!
 
ina maana alivyokuachia majukumu wee ulienda na kuzama hadi kwa mkewe?
sasa ndugu yangu jua kuwa sasa hapo umeshalikologa cha kufanya ni kuomba msamaha
tu la sivyo yatakukuta mabaya nakushauri kaa nae ongea naye vizuri na mwambie
yote uliyoukuwa unayafanya wakati yy huko masomoni hiyo ndo itakuwa pona yako
bali angalia kuwa mshahara wa :scared: ni mauti

Jamani nina rafiki yangu wa karibu sana. Alisafiri kama miezi 2 hiv kwenda nje kimasomo, kama kawaida mimi ni mtu wake wa karibu hivyo aliniachia majukumu ya kumuangalizia familia yake. Sasa amerudi juzi j1. Leo kanifuata nyumbani kistaarabu na kuniambia kuwa tangia afike amekuwa akimshangaa mke wake anatajataja sn jina langu hasa wanapokuwa kitandani wakila tunda. Mimi nimeshindwa la kumjibu nimemwambia nitaenda kwake jioni tuongee kifamilia lkn lengo langu kubwa ilikuwa nije kupata ushauri huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom