Jamani nisaidieni kwa hili

Binkcarter

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
378
390
Mimi ni mwanafunzi wa Udsm nahitaji chumba cha kupanga karibu na chuo.. popote karibu na chuo wakuu naombeni saana msaada wenu.
 
Kijana pole kwakutafuta makazi. Ila nakushauri nenda maeneo ya karibu na chuo unakotaka kupanga uliza Madalali wa nyumba na vyumba. Hao watakusaidia haraka.
 
Kijana pole kwakutafuta makazi. Ila nakushauri nenda maeneo ya karibu na chuo unakotaka kupanga uliza Madalali wa nyumba na vyuma. Hao watakusaidia haraka.

nashukuru saana mkuu ila nmeona nianzie hapa huenda nikapata finalists ambao wanaondoka..Nakushukuru
 
Back
Top Bottom