jamani nisaidieni hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani nisaidieni hapa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Loreen, Jan 20, 2012.

 1. Loreen

  Loreen Senior Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habarini wana jf , jamani kuna m2 alishakuwa na mtu kwenye mahusiano kwa kupitia hii wesite na wakafunga ndoa km yupo aniambie?
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  si ulikuwa unatafuta humu.kwa ushauri wangu usitafute mwanaume kama upo sirias kwenye mitandao.kwa sasa umepanic kwa kuachwa cool down utapata tu aliebora
  believe me loreeen coool down kama una shida ya mwanaume saaaana ni pm nitakusaidia
  ila hapa usichezee masharubu ya simba
   
 3. Loreen

  Loreen Senior Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaa smile unathani ni kweli ninaelewa hilo mshikaji!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ndio, wapo!
   
 5. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,321
  Likes Received: 10,400
  Trophy Points: 280
  Wapo kibao watakontakiti na wewe wakiingia.
   
Loading...