Jamani niruke nae au nighairi?

Akiisha kuunga kwenye grid ile kubwa: MGV 10,000. Utaniambia nikupe dawa.
 
Kwamba inafika wakati unakosa hata elfu 50 tu mfukoni?

Aisee kama ni hivyo basi sijui kwanini huwa unalala, ongezea huo muda wa kulala uhangaike kutafuta pesa zaidi mkuu
Sitembei na cash maana iko kwenye card na simu
 
Hiyo ya kulipa kwa kuscan hiyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…