Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
yaani hata kakobe akimwona hata weza vumilia, i am serious, kakobe mbona anakamua tu, nipe njia nzuri niepuke mitego plse
huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya Uhasibu hapa Dar, nimemaliza Chuo, nina GF, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali Sept. 2008 so she is single now, na anamaisha mazuri tu, mm nakaa si mbali naye, hata yy anamjua my GF alivyo Mrembo, t.a.ko nyeupeeeee, sasa huyu mama ana miaka 56, anajitunza, anamzigo wacha, kila siku mara simu, mwanangu nakusalimia maana naakuamini kweli, nakupenda ulivyo pia, hunywi pombe, mtulivu, handsome, tall mambo kibao, mara weekend anakuja home, i am alone na mtoto wa kazi, sometimes anamkuta my GF, hajali, ana watoto 3, wa mwisho she is 29 yrs, kaolewa, akija home akijua my GF hayupo anakuja na kanga moja yaani vituko, mara paja nje, t.a.ko hilo mmmhhhh, she is white, saffffiiiii too, jamani mm mwanaume huyu ni jrani pia niambieni, nihame au nimfukuze au.. nile..... ukimwona anajiheshimu si mlevi, mapepe ila nimemwambie asinipigie simu usiku, asema atajaribu, yaani yupo hot kwangu balaaaa, msaada plse
Wewe unasema ametulia., si mlevi. Lakini kwa maelezo yako naona hajatulia na anakutaka tu wewe, Atakuharibia very soon
Acha tamaa kwa huyo mama, Tulia na GF wako. Baadaye ataanza kukufuga kama kitoto cha mbwa, halafu nawe utaona aibu hata kwa wenzio, na hapo hata GF wako utakuwa umemkosa
Acahna na huyo mama
Una uhakika na unayosema khusu Kakobe? wewe naona hauhitaji msaada..unataka kuendelea na uzinzi.
lakn Njia nzuri ni kununua kufuli la chuma na ulifunge huko ikuluni kwako....nadhani hapa utapona na mitego kama hutaki msaada wa maombi.
thanks man, i will do my best
Hiyo ,iaka ni michache sana, Huyo ni mama yako kabisaaaaaa!
Achana naye haraka. Tena mkwepe kama ukoma!
Dont just do your best, do it strictly, umri wako mdogo sana, yeye ndiye fataki wa kike. Atakuharibia, na ninakuona kabisa baada ya mda unampigia magoti tena yule GF wako, naye atakuwa na mwingine
take it or leave it si umetaka ushauri?Amri ya Sita ya Mungu wa Kikristo ;(Kama wewe Mkristo) Usizini ambayo inaendana na Usifanye Uasherati
Kimaadili; basi vumilia hadi ufunge ndoa na huyo Mchumbaako
Kwa mila za kiafrica ni kuwa haiingii akilini MWANAMUME kufanya ngono (mnayaita mapenzi) na mwanamke mwenye umri mkubwa kuliko huyo mwanamume
Barabarani; kama unaendesha gari, zaidi ya kuangalia kwenye vioo elekezi vya pembeni, usigeuze geuze shingo lako kuangalia pembeni.
Thanks ila huu mshipa huu, ukiamka sometimes unaniendesha, u know what i mean, yaani ukiwa na AFYA tele taabu ukiwa mgonjwa taabu, ss wanadamu tumeumbwa mateso tupu, huyu mama namjua for 7 years now, nani kama mwaka mmoja sasa vituko acha, sijui kazidiwa au? ananipa moyo eti mm mtu wa aibu, wanaume hawako hivyo, eti anasema my GF hawezi jua ss ni watu wazima, na amefika mbali kasema hta vunja uhusiano wangu na my GF, hadi sasa my stand is NOOOOOOO, many thanks MTWA
Sijawahi hata kumgusa mwili wa huyo mama, ila nimesema anajigonga hadi karaha, na si kwamba ni mama wa dhiki ana maisha saaafiiiii,si kwamba anataka pesa kwangu nimwonavyo, ala, almost maisha yake yanalingana na yangu, mm kuomba mawazo yako si uzinzi mpendwa, maana umesha ni group as if i did adultery, msaada dada stop kunihukumu