Jamani nipeni info za kumnasa miss chagga

Jamani nipeni info za kumnasa miss chagga

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Jamani naombeni msaada, wa kumpata huyu msichana, maana naona mungu amenionyeshea maono kwamba ndiyo mke wangu.

jamani niazeje ili awe mke wangu,,!!!
 
miss chagga dear kuna munu huku anafuatilia mali yangu kama ana hela kunizidi sawa ila kama hanikuti achana nae nimekupa ruhusa
 
Last edited by a moderator:
ehheeee naomba bank statement halafu tukutane jioni twende kwenye ATM niangalie hilo salio kama kweli lipo at list uwe na 1,000,000,000tsh hiyo ni minimum karibu sana
 
ehheeee naomba bank statement halafu tukutane jioni twende kwenye ATM niangalie hilo salio kama kweli lipo at list uwe na 1,000,000,000tsh hiyo ni minimum karibu sana

Mmmmh jamani miss chagga si utaniua tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom