jamani nipeni dili soma hapa tafadhali

jamani nipeni dili soma hapa tafadhali

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,825
Reaction score
3,093
jamani kuna yoyote anaweza kunipa dili yoyote ya hela sibagui napiga yoyote ile nataka kujiajiri but sina mtaji eneo la kujenga ofisi ninalo maana naona kuajiriwa ndito mpaka upate mtu nipeni dili bandugu
 
nipe dili nijiajiri time is makangability hairudi nyuma
 
Mulugo amefanya vijana wengi sana kuzagaa mtaani baada ya matokeo ya mwaka jana. Mh poleni
 
jamani kuna yoyote anaweza kunipa dili yoyote ya hela sibagui napiga yoyote ile nataka kujiajiri but sina mtaji eneo la kujenga ofisi ninalo maana naona kuajiriwa ndito mpaka upate mtu nipeni dili bandugu

wewe acha kumshauri ivyo mwenzio. Bora aanzishe mradi wa kufuga kitimoto!
 
Kwa wadosi kaka mbona hivyo, kwani hauna exposure na hao madon. We subili majina ya SA yakiwekwa wazi appoh.
 
Last edited by a moderator:
nipeni dili basi namba yangu ni 0712505049
 
Nna shamba silitumii. Kama utaweza kupiga jembe la mkono tulime mihogo. Moe natoa ardhi, mbegu na jembe. Wewe utawekeza nguvu kazi. Tukivuna tunagawana pasu pasu.

Kama vipi pm me
 
Back
Top Bottom