Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,872
- 1,235
Tunaomba mwenye taarifa nini kinaendelea libya tupashane. Nasikia anaua kwa kwenda mbele, ni kweli
Gaddafi lazima ang'oke hana jinsi. Bado tu anatafuta sehemu ya kukimbilia. Tumesikia anachimba mkwara kwamba yuko tayari kufa kwenye nchi yake. Lakini mwisho wa siku atakimbia tu. Nguvu ya umma ndiyo mwisho wa mambo yote. Hata tanzania, dawa ya ukiritimba wa watawala ni nguvu ya umma. Itafika tu mwisho wao.