Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

Nenda kampime akili huyo mkeo.....inawezekana ni mhitimu wa MILEMBE....
 

mletee msaidizi ndo atatia adabu
 
aisee kuna mtu wangu wa karibu nae ana shida km yako yaani ni mtihani hasa imefika hatua ndgu wamewachoka kwenye vikao sasa hv wakigombana wanaambiwa mtajua wenyewe mume alikua na marafiki wote wamepotea
 

Achukuee huu ushauriiiiiii
 
Hapo kwenye Red, Watu8 nimecheka mpaka basi. u made my day! kumbe yale wanayosema kina wifi wana-control ndoa za kaka zao sometimes huo ukorofi unatumika kama ''positive therapy' sio?

wewe watu8 inaelekea adabu kwa mkeo huna na unapenda kutumia ndugu zako wakusaidie kukusaidia kumnyanyasa mkeo.
nawe siku moja utaletewa shemeji yako mkorofi toka ukoo wao akuchambe ujione si kitu si chochote. alaaah ebo. jitambue bwana
 
wewe watu8 inaelekea adabu kwa mkeo huna na unapenda kutumia ndugu zako wakusaidie kukusaidia kumnyanyasa mkeo.

Kila tatizo lina namna yake ya kulifumbua, muhimu ni kutanguliza hekima tu na hiyo ndio nia kuu ya kutatua jambo gumu lolote...

Jaribu kusoma kisa cha Mfalme Suleiman na wanawake wawili walokuwa wakizozania mwana, kumbuka jambo ambalo Mfalme huyo alitaka kulitekeleza (lakini si kweli kwamba angelitekeleza...)

Kuna matatizo mengine hutatulia kwa njia ambazo wewe na mimi hatuwezi kuzifikiria kirahisi, inahitaji uthubutu usiokinzanika...


nawe siku moja utaletewa shemeji yako mkorofi toka ukoo wao akuchambe ujione si kitu si chochote. alaaah ebo. jitambue bwana

Soma hapo juu unielewe na kisha urudie tena kusoma hiki ulichoandika...
 
Haka kastor kanafanana na kastor Ka Dada yangu yuko mkoa wa Kilimanjaro anamambo kama hsya
 
Women are meant to be loved and not to be understood, how do u hope to understand a creature that was created while u were asleep.
 
Mpe mimba back to back ,atajua unyenyekevu una nguvu gani,
 
Mpe yelo kadi kwa kucheza rafu za mdomo.Akija za matendo piga streit redi hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…